Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu nahisi kuna complication ya ujenzi ukiwa unaingia mza.
Kunaweza hitajika kupasua milima ambayo si kazi ya kitoto, nafikiri wengi wetu tunajua jiografia ya mza.
Mwanza na isaka kuna marshaling yards kama sikosei.
Ukiacha tabora, mwanza - isaka ina vituo vingi vikubwa, ambavyo ni mwanza na shinyanga, isaka na malampaka vinaweza kuwa vituo vya size ya kati ila si vidogo.
Uwezekano wa mza isaka kuchukua muda mrefu kwenye ujenzi kuliko makutupora isaka ni mkubwa.
Let assume mwaka kesho wakatangaza tender ya makutupora isaka Unaweza kuta ujenzi ukaisha sawa na wa mza isaka. kutakuwa hakuna utofauti sana na hata ukiwepo ni miezi sita or less.

Suala la mizigo kuanza kuchukuliwa na sgr si la hivi karibuni. Inavyoonyesha linasubiriwa daraja la pale gerezani liishe ndio ujenzi uanze kuelekea bandarini.
Ninaamini hii idea yako ni sahihi Sana, haileti maana kipande cha reli kimalizike mapema then kibaki "idle" kikisubiri kipande cha mwazo, uwezekano mkubwa kwamba vitakutana Isaka wakati mmoja. Asante sana mkuu kwa umakini walk.
 
[QOTE="komora096, post: 36897504, member: 509097"]
Naona mara hii umewajia kivingine, hapo kw video naona utawatoa roho mazee
Walificha mikia, yani outsise Dar, no town can level with even Kenya's no.5 kote kote, drone views has exposed how Tz is still an LDC on the ground but Lower mido income on paper, where TZ is just at the tail end of it, a slight hiccup economicaly wana anguka LDC., but bro am proud to be East African, I brag to my Zim n Angola friends I trade fx with about how EAC is the King of Africa., wakiteta nawambia waangalieRwanda, Tz Kenya and by extension Ethiopia, wana tii deadly![/QUOTE]Kwa hiyo mmeona Dar sio level yenu.tukiwaletea maendeleo ya Tanzania nzima si mtapotea?
 
Sidhani kama control Centre itakuwa dar pekee bila back up yoyote ile
Control centre ni kama kituo cha Television au Redio, lazima kiwe ni kimoja lakini kinarusha matangazo nchi nzima ila kinachobadilika ni frequencies, vinginevyo kutakua na utofauti wa matangazo. Fuatilia maelezo ya Kadogosa kwenye youtube utaelewa vizuri zaidi.
 
Amefunga border mara kadhaa ili products za Kenya zisiuzwe Tanzania.
Onyesha lini Tanzania ilianzisha tukuo la kufunga border ambalo haliendani na kulipiza kitendo kilichofanywa na Kenya.

Magufuli alishasema hadharani kwamba, Tanzania kamwe haitoanzisha mgogoro na nchi yoyote, ila nchi itakayoanzisha chokochoko, Tanzania itajibu kwa haraka sana.

Taja tukio lolote ambalo Tanzania ndio ilianza kusababisha mgogoro kati ya Tanzania na Kenya, au hata na nchi yoyote.
 
Hehehee!!kujeni muone jamaa kaleta video ya flyover.[emoji23][emoji23]
Kuwa na adabu hiyo ni one and only three level interchange in EA[emoji16][emoji16], so show respect....
JamiiForums-1032483570.jpg
 
Sasa ni awamu ya Nairobi
Under construction
1.Nairobi expressway (27km)& overpass (11km)..10-16lanes
2.western bypass (20km) 8lanes
3.Ngong road phase 2 (15km) 4 lanes
4.westlands to limuru superhighway (23km) 10 lanes
5.BRT phase 1 (50km)..contractors on site ready for the job
6.commuter railway..DMUs coming soon

Coming soon
1.overpasses at
*ngong road (two of them)
*valley road
*mbagathi road
*Enterprise road-CBD
2.Jkia-CBD railway line(Uhuru ako France Leo hii kwa hio deal yenye pia limuru-Nakuru-mau summit highway(2*2 lanes,178km) iko hapo)
3.BRT phase II
4.Dualing Eastern and Northern bypass
Uhuru ako France kukopa ni aibu kwa Kenya na East Africa
 
Huhuhuuu!!yosef akikuskia atakupa dose[emoji23][emoji23]..
Siku hizi amewakosesha hamu kabisa
Nadhani umefanikiwa kupitia hizo post apo nyuma ....sio unalialia tu....lazima tuwafundishe adabu...mwenzio mpka amesema kweny picha anaiona Europe...sasa anatak ajisibitishie kupitia video[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Control centre ni kama kituo cha Television au Redio, lazima kiwe ni kimoja lakini kinarusha matangazo nchi nzima ila kinachobadilika ni frequencies, vinginevyo kutakua na utofauti wa matangazo. Fuatilia maelezo ya Kadogosa kwenye youtube utaelewa vizuri zaidi.
Nimemsikiliza kadogosa sana ila kiuhalisia kukikorofisha dar treni hazitembei.
Umetoa mfano wa matangazo ya redio ambao ni mzuri.
Huwa tunasikiliza matangazo kutoka kituo cha dar tbc but bado kuna vituo mfano mza, Dom, Arusha wanaweza rusha matangazo Toka huko.
But kwa ufupi mara nyingi control centre ufanyaji kazi wake unakaribia kufanana na radar za ndege.
 
Hapa ndo huwa nashindwa kuwaelewa hawa jamaa si basi wangechukua mkopo wamalizie kipande cha SGR cha Naivasha-Kisumu-Malaba? Sasa hapa ni kama wame-give up na SGR sasa wamepindukia highways! Yaani ni vuluvulu wamepoteza network!
wacha watuige sisi....

maana dalili ya kushindwa vitu ni kupanic tu kinachotokea sasa kitakachofanyika Tz nao watataka kufanya tena kwa nguvu kubw,,,,hapo ndipo wanapopotea siku ya kufa nyani
 
wacha watuige sisi....

maana dalili ya kushindwa vitu ni kupanic tu kinachotokea sasa kitakachofanyika Tz nao watataka kufanya tena kwa nguvu kubw,,,,hapo ndipo wanapopotea siku ya kufa nyani
Rudia tena[emoji23]
 
Nadhani umefanikiwa kupitia hizo post apo nyuma ....sio unalialia tu....lazima tuwafundishe adabu...mwenzio mpka amesema kweny picha anaiona Europe...sasa anatak ajisibitishie kupitia video[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuma video ya mwanza city tupaone..
Cheki vile utakavyo hara hara sasa
 
Back
Top Bottom