Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi sina tatizo na ujenzi wa reli zote mbili, tatizo langu ni kwanini wasingeendekeza kama walivyofanya mwanzo, yaani Dar - Moro - Nakutopora - Isaka - Mwaza, ili njia ifunguke taratibu?.

Kumbuka kwamba, Control center ya SGR ipo Dar.kwahiyo Mwanza- Isaka haiwezi kufanya kazi bila kuunganishwa na Dar.

Lakini hata usafirishaji wa hizo trains za SGR, zitafikaje huko Mwanza?
1)Ziendeshwe hadi Dodoma, ndio zipakiwe katika MGR hadi Mwanza
2)Zipakiwe na MGR toka Dar hadi Mwanza, logistically haijakaa vizuri.
Mkuu nahisi kuna complication ya ujenzi ukiwa unaingia mza.
Kunaweza hitajika kupasua milima ambayo si kazi ya kitoto, nafikiri wengi wetu tunajua jiografia ya mza.
Mwanza na isaka kuna marshaling yards kama sikosei.
Ukiacha tabora, mwanza - isaka ina vituo vingi vikubwa, ambavyo ni mwanza na shinyanga, isaka na malampaka vinaweza kuwa vituo vya size ya kati ila si vidogo.
Uwezekano wa mza isaka kuchukua muda mrefu kwenye ujenzi kuliko makutupora isaka ni mkubwa.
Let assume mwaka kesho wakatangaza tender ya makutupora isaka Unaweza kuta ujenzi ukaisha sawa na wa mza isaka. kutakuwa hakuna utofauti sana na hata ukiwepo ni miezi sita or less.

Suala la mizigo kuanza kuchukuliwa na sgr si la hivi karibuni. Inavyoonyesha linasubiriwa daraja la pale gerezani liishe ndio ujenzi uanze kuelekea bandarini.
 
Outside Dar hakuna city ya maana Tz., Tz ni Dar na Dar ni Tz., period! I like drone views/video clips, no room for lies and deceptive perspectives za still photography. Dar imeanikwa peupe, no more lies. Area ya uzuri wake, modern infrastructure region iko wazi., the bigger rest., mnajua vyema.
Naona mara hii umewajia kivingine, hapo kw video naona utawatoa roho mazee
 
Ninakubaliana na wewe, ila jambo moja tu ambalo ninataka kukuelewesha ni kwamba, Control center ya njia yote ipo Dar.hata train iliyopo station ya Kigoma itakuwa inafuata maekekezo ya Dar, yaani madereva wa hizi trains watakuwa wanawasiliana moja kwa moja na kupokea amri toka Dar.

Lazima Control center iwe moja ili kuepuka mgongano wa maelekezo, Mwanza haipaswi na wala hakutojengwa control center, kwahiyo hiyo Mwanza - Isaka lazima iunganishwe na Dar ndio ianze kufanya kazi.
Sidhani kama control Centre itakuwa dar pekee bila back up yoyote ile
 
Naona mara hii umewajia kivingine, hapo kw video naona utawatoa roho mazee
Embu msaidie kungalia the Europe of EA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] videos zipo zakutisha zimetumwa...saidianeni
 
Tukisema Kenya ni Nairobi tu wanakasirika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani Ukitoka Nairobi huko kwengine kote ni jangwa na vichakani ndio maana Nairobi ni mother of slums sababu kila mtu alietoka jangwani na vichakani anaota usiku na mchana akaishi Nairobi [emoji28][emoji28][emoji28]
Endelea kujichekesha tu wakati huku hta nakuru hujui utatokaje
 
One thing in three photos on cosmetics, the deception of perception, a false illusion created in the minds of clueless simpletons. Video clips rocks, no more lies![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😛
Gongelea hapo hapo bro
 
Tujuze jomba, slum ni nn
Hehehehehe leo hujui slum ni nn [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1590653635104.jpeg
tapatalk_1593531669944.jpeg
tapatalk_1593531641397.jpeg
tapatalk_1588537809663.jpeg
 
Hiyo inaitwa three level interchange, na unapoitaja inatakiwa uwe heshima kdg mana kwenu haipo hyo na hamtokuwa nayo kwa kipindi cha miaka 10 mpk 20 ijayo [emoji3][emoji3]
Naona ni km umeandika kisengerenyuma, pangani ilikuwepo miaka kumi iliyopita..
Yani wewe unashangaa barabra tatu kupitana 2020[emoji23]
 
Embu msaidie kungalia the Europe of EA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] videos zipo zakutisha zimetumwa...saidianeni
Huhuhuuu!!yosef akikuskia atakupa dose[emoji23][emoji23]..
Siku hizi amewakosesha hamu kabisa
 
Najua kumia ni jadi yako ....so deal with it[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]in last 2 week ambassador of USA alisema anahisi yuko NY....embu kabishane nae kwanza ndio uje[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku umekua mkalimani, emu ilete statement yake tukuchambulie wazee wa direct transalation[emoji23]
 
[QOTE="komora096, post: 36897504, member: 509097"]
Naona mara hii umewajia kivingine, hapo kw video naona utawatoa roho mazee
[/QUOTE]Walificha mikia, yani outsise Dar, no town can level with even Kenya's no.5 kote kote, drone views has exposed how Tz is still an LDC on the ground but Lower mido income on paper, where TZ is just at the tail end of it, a slight hiccup economicaly wana anguka LDC., but bro am proud to be East African, I brag to my Zim n Angola friends I trade fx with about how EAC is the King of Africa., wakiteta nawambia waangalieRwanda, Tz Kenya and by extension Ethiopia, wana tii deadly!
 
Back
Top Bottom