Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kikwete alikuwa rais mzuri sana wa Tanzania. Nilipenda sana huyo mtu. Alikuwa Muungwana sana. Hakuwa na masihara na hasira kama huyu aliyekalia kiti sasa hivi.

Hahaha kwa hiyo kutakua hakuna Dr. Pombe Magufuli Avenue Nairobi? BTW ndege wetu Tausi bado wapo au wameshatelekezwa?
 
[emoji550]
IMG_20201004_093603.jpg
 
Kikwete alikuwa rais mzuri sana wa Tanzania. Nilipenda sana huyo mtu. Alikuwa Muungwana sana. Hakuwa na masihara na hasira kama huyu aliyekalia kiti sasa hivi.
Kikwete km angefuatia baada ya Magufuli angekuwa raisi mzr km unavyosema.
 
Na kule kwetu wale wazee wa zamani wanaopenda kuchomekea sana nguo haswaa zilizochoka choka hivi na makoti na hawana hata mia mifukoni huwa wanafananishwa na wakenya.
Ile kuvaa koti na suruali iliyotoboka huku chini ndala zilichoka,halafu kiingereza kiiingi na ujuaji wa kila jambo ndio hulka ya kikunya,wengi wako hivyo
 
Kikwete alikuwa rais mzuri sana wa Tanzania. Nilipenda sana huyo mtu. Alikuwa Muungwana sana. Hakuwa na masihara na hasira kama huyu aliyekalia kiti sasa hivi.
Kikwete huyuhuyu si mlimbagua mkaanzisha COW! Huyu wa sasa ndo size yenyu angalia anawavyowanyorosha kwa kutibua COW! I'll pick JPM over JK anytime!

JPM kawanyang'anya Uganda pipeline na anaenda kuzindua SGR phase III n IV by 2021 kabla ya kuwanyang'anya Uganda's cargo!
 
Ndio maana wanabadili ID tu mara kwa mara, wanaaga kuwa hawataki tena kukaa JF ila wanajikuta wanarudi tu kwa ID mpya 😂 😂 ...huwa wanaumia sana ila ndio hivyo hawawezi kuikana nchi yao wazi wazi, ila kimoyo moyo wanataka kuhamia kabisa na kuwa waTZ kama ChoiceVariable
ChoiceVariable mbongo sema dish limeyumba
 
Back
Top Bottom