Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu jamaa kauliza swali la msingi sana, kuna faida gani ya kuruka kipande cha katikati wakati tungefungua njia taratibu?
Kunafaida moja joto ya jiwe...Dar-Isaka MGR imetoka kufanyiwa Revamp..inayoweza kufanya treni kwenda kwa mwendo wa upto-80km/hr...

That means for the mean time MGR itakuwa inapeleka mzgo kwa speed ya chap na ikifika Isaka-Kutakua na SGR to Mwanza itayongeza speed kwenda Kwenye meli to Uganda

Hii inatupa uwezo wa ku serve Uganda Chap bila kusuburia SGR yote iishe..pia usishangae tukianza Isaka-Kigali..kabla ya Makutupora-Isaka..

Cause kuna MGR yenye speed ambayo sio mbaya sana..mpka isaka kutoka Dar
 
Hiyo reli ya mkoloni inaweza kubeba treni ya 80 km/saa? siamini hilo, ...
 
Unaonaje kama yale marekebisho ya MGR yangefika Mwanza ili kuepuka kushusha na kupakia mizigo hapo Isaka kutoka MGR kuingia SGR?, pili muda WA kurekebisha kipande cha MGR toka Isaka hadi Mwanza ni mfupi kuliko wa kujenga Upya SGR, kwasababu hicho kipande cha MGR toka Mwanza hadi Isaka pia lazima kirekebishwe, sina uhakika kama hakijarekebishwa tayari
 
Kuna sehemu reli imebadilishwa kabisa..na pia imekuwa contious jointed..fwatilia TRC you tube uone..imecost 300mil usd loan from WB sidhani kama itakuwa sio worth it ..maana WB wasingetaka uma udanganywe na pia huwa wako careful na pesa yao kwa kufanya ukaguzi wa project...so it will be worth the money and it will improve the weigth to be loaded and speed

And that is their claim sio data yangu..ata kama speed ni 60km/hr about twice the speed we have now
 
Unaonaje kama yale marekebisho ya MGR yangefika Mwanza ili kuepuka kushusha na kupakia mizigo hapo Isaka kutoka MGR kuingia SGR?, pili muda WA kurekebisha kipande cha MGR toka Isaka hadi Mwanza ni mfupi kuliko wa kujenga Upya SGR, kwasababu hicho kipande cha MGR toka Mwanza hadi Isaka pia lazima kirekebishwe, sina uhakika kama hakijarekebishwa tayari
Alright ..inabidi ukumbuke sio kipaumbele kikubwa cha serikali kurekebisha MGR as kujenga SGR..

Fedha za MGR revamp zilitoka from WB loan..300mil usd..na wao waliona wa finance Dar- Mwanza

Marekebisho yangefikwa Mwanza ingekua bora zaidi for the mean time n yes ni rahisi ku revamp...compared to kujenga..ila kipande sio lazima kirekebishwe itakuwa ni choice kwa serikali ..wakiona ni lazima watafanya...hasa kama wana pesa...au kama WB atatoa good loan tuendelee

Kumbuka Tz Gov ya Sasa..inataka ijenge reli kwa SGR so focus ipo hapo kwa sasa..sijui ilikuwaje wakaamua wachukue na loan..au agreement ilifanywa awamu ya nne so awamu ya tano wakawa hawana usemi tena juu ya hilo..hayo yote ni ya kuwaza na kujua ili kuelewa zaidi...

Mimi naona ni sawa Economically na Politically kujenga Mwanza to Isaka

Economically because kuna MGR tayar ..so kuwafikia uganda mapema hamna haja ya ku spend 30$mil ku revamp..wakati utaweka sGr route yote bora uweke tu SGR mapema.kwa kutumia hio pesa Itachukua 2-3yrs while rehab ya mgr itakua 1yr...so unless we get good loan..from wb..lasivyo tueweke hela sgr..

2.Makutupora - Isaka inataka kufanywa lot moja so inaweza kuwa cheaper kuliko kuigawanya lot mbili kwa wakandarasi wawill tofauti ..na hamna hela ya lot hyo yote moja kwa sasa..so wamemove to Isaka-Mwanza part

3.Mwanza ina popn kubwa zaidi ya hio mikoa Singida -Tabora ..its politically viable now esp kwa uchaguzi huu kutangaza tender mwanza-isaka..that is a political view..msianze kusema its wrong cause hata nyie mngeconsider kama mngekua hio postion
 
Mimi sina tatizo na ujenzi wa reli zote mbili, tatizo langu ni kwanini wasingeendekeza kama walivyofanya mwanzo, yaani Dar - Moro - Nakutopora - Isaka - Mwaza, ili njia ifunguke taratibu?.

Kumbuka kwamba, Control center ya SGR ipo Dar.kwahiyo Mwanza- Isaka haiwezi kufanya kazi bila kuunganishwa na Dar.

Lakini hata usafirishaji wa hizo trains za SGR, zitafikaje huko Mwanza?
1)Ziendeshwe hadi Dodoma, ndio zipakiwe katika MGR hadi Mwanza
2)Zipakiwe na MGR toka Dar hadi Mwanza, logistically haijakaa vizuri.
 
Back
Top Bottom