Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tz tunaongoza kwa EA.ila jirani kunyaland hayupo kwenye list
IMG_15979226169352168.jpg
 
We nae unajisumbua bure ni nani asiyejua kwamba kenya ni nchi inayoongoza kwa slums na uchafu duniani, hiyo video umeweka siwezi tazama cz nitapoteza mbs zangu bure kwa kuangalia upupu.
Kumbe unajitesa kila siku kununua mbs ndio uingie jf, hahaha
 
Watch the clip, an old pic with limited view cant give u a clear perspective, Mombasa dadake Dar. In your pic unayo ienzi sana nionyeshe Mwembe Tayari? Buxton?, Tudor estate?., Docks?., u dont know Mombasa, only through google
Akikuonyesha nitag[emoji23][emoji23]
Yani kaleta picha na wala hata hajui hapo ni sehemu gani
 
uheheh eti arusha is small ww akili huna [emoji23][emoji23][emoji23] mm arusha nimekwenda na hata sijaimaliza na nimezunguka sana tu ww unaniambia ni ndogo serious [emoji3][emoji3]
Unataka kusema arusha urban area ndio umeahindwa kuimaliza[emoji3][emoji3][emoji3]
Hata km ni uongo sio kihivo, labda useme mkoa mzima
 
wakenya wanaishi na picha picha maphotograph editing ,,

hayo ndiyo maisha yao ,,wakenya ni watu fake zaidi ya bidhaa nyingi za kichina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

in reality tunajua uhalisia
Na wewe huna bado la kuchekia video[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom