👆👆👆 hii ndio estate ya mababi Iringa? Eldoret's Elgon View in Dar itakua top 3!😂😂😂., unajikaza lakini wapi!., ata Jinja Uganda iko far ahead😂😂😂, hii ata Kakamega haitoshi. Ulifanya vizuri kuweka video, still camera can project a false perspective and biased views through carefuly selected angles.hehehe kenyatta aliwaachia laana ya slums ndio maana akili zenu zinawaza slum kila sehemu 😀😀😀 pamabana na iringa kwanza ukitoka tu ww kidume
View attachment 1542333View attachment 1542334
kwa vile hatuijui eldoret unatuona washamba sana 😂😂😂👇👇👇👇👆👆👆 hii ndio estate ya mababi Iringa? Eldoret's Elgon View in Dar itakua top 3!😂😂😂., unajikaza lakini wapi!., ata Jinja Uganda iko far ahead😂😂😂, hii ata Kakamega haitoshi. Ulifanya vizuri kuweka video, still camera can project a false perspective and biased views through carefuly selected angles.
Video kaka.😂😂
jipeni matumaini maana hamuna jinsi tena kwa sasa😂😂😂👏👏👏👏 si umesahau na millionares mulisema mombasa inamillionares wengi kuliko dar au mumesahau leo 😂😂😂😂😂
Hii ndio sababu kila mwaka Kenya inashuka katika "Global peace Index ranking", ovyo sana hawa jamaa.kama kawa [emoji116][emoji116][emoji116]
bahat nzuri nakujua vzr sana ndio maana hata sipati tabu 😂😂😂 millionares hugusi tena ni pamoto imejengwa ikwap sioni maendeleo si hata pinnacle mulisema inajengwa au???😀😀😀That is true. We do forensic audit hamtoshi. Mombasa ni ya cartels, apart from shrewd business men, they cant go public, they keep low profile. Watu wenye private jets n choppers are no mean feat.😂😂
Si uliniambia expressway haitajengwa., what happened?.,
ukabila ni mbaya sana bro acha kabisaHii ndio sababu kila mwaka Kenya inashuka katika "Global peace Index ranking", ovyo sana hawa jamaa.
Hawa tutawaruhusu mpk ndege zetu zipate kibali cha kutua kenya pia [emoji23]
sio kwa magu bro huyu jamaa hana mchezo kabisaYaani nchi yetu ikirujusu Kenya waje,alafu Sisi tusipewe kibali,itaniuma mpaka kesho.
Outside Dar somewhat decent city that can level with akina Naks, Eldy, Ksm ni Mwanza na maybe Arusha., though bado!., Outside Dar Mombasa haina mpinzani. Infrastructure na economy.
Towns residentials in towns around Nairobi (Machakos, Kiambu, Kitengela, Athi River, Ngong) zinatoa Dar kamasi.
kwa vile hatuijui eldoret unatuona washamba sana 😂😂😂👇👇👇👇View attachment 1542348View attachment 1542349
Labda raisi awe LissuYaani nchi yetu ikirujusu Kenya waje,alafu Sisi tusipewe kibali,itaniuma mpaka kesho.
ulitaka nisiende google tel me 😂😂😂 hamupendi google kabisa hahaha nairobi inamillionares kuliko tanzania nzima kale kamsemo kameisha sasa hvi 😂😂👇Umeenda google to cherry pick photos?😂😂 nunua data millionaire wa Dar watch the clip., an old photo wont do u jistice, camera angles can be deceptive at times kama vile unatudanganya na Dar, aerial view gives a different story. Video bro., all round view. You can observe street level and aerial view and several kilometres, wacha vipicha😂😂😂😂
Nikutumie data?
And you are honestly comparing this to the Iringa video you just posted? Cant you see that there was some thought process in the planning? Sio vibanda back to back!!!kwa vile hatuijui eldoret unatuona washamba sana 😂😂😂👇👇👇👇View attachment 1542348View attachment 1542349
uheheh eti arusha is small ww akili huna 😂😂😂 mm arusha nimekwenda na hata sijaimaliza na nimezunguka sana tu ww unaniambia ni ndogo serious 😀😀I agree i have personally been to Mwanza and Arusha, Dar not yet. Arusha is okay but the built up area is just too small, untoka town within a minute uko Ushago.
Mwanza was there last in 2010, CBD is okay but residentials hazina tofauti na ushago.
uhahaha shindana na iringa kwanza ukitoka hapo njoo nikupe dawa munafkiri hii ni ile tz ya 90s 😂😂😂😂 eti naivasha nimecheka sanaAnd you are honestly comparing this to the Iringa video you just posted? Cant you see that there was some thought process in the planning? Sio vibanda back to back!!!
hahaha kumbe ulienda mwanza 2010 and today is 2020 kweli 😂😂😂😂 kazi ipoI agree i have personally been to Mwanza and Arusha, Dar not yet. Arusha is okay but the built up area is just too small, untoka town within a minute uko Ushago.
Mwanza was there last in 2010, CBD is okay but residentials hazina tofauti na ushago.