Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwa vile hatuijui eldoret unatuona washamba sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1542348View attachment 1542349
wakenya wanaishi na picha picha maphotograph editing ,,

hayo ndiyo maisha yao ,,wakenya ni watu fake zaidi ya bidhaa nyingi za kichina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

in reality tunajua uhalisia
 
maisha yao ni makeup tu hakuna kingine uhalisia ni ushuzi wa mende 😂😂😂 eti anaitaja naivasha nimepita hapo mara 10 na zaidi
 
uheheh eti arusha is small ww akili huna 😂😂😂 mm arusha nimekwenda na hata sijaimaliza na nimezunguka sana tu ww unaniambia ni ndogo serious 😀😀
That's just my opinion its a good town, weather and ambiance similar to Nairobi but ni kadogo sana bro 😎😎😎. Potential iko though!
 
ww hujatemebea arusha my friend ulienda 15yrs back acha kabisa na arusha
 
hahaha hasira za mkizi 😂😂😀👇
SGR imekufa rasmi sasa

Nilicho gundua kwenye hizo comments,ni kwamba; wakenya wataumia siku Tz ikizindua Treni yake ya umeme,alafu,nikama wanalalamika eneo la western kutengwa na serikali ya Uhuru.
 
maisha yao ni makeup tu hakuna kingine uhalisia ni ushuzi wa mende [emoji23][emoji23][emoji23] eti anaitaja naivasha nimepita hapo mara 10 na zaidi
majamaa wanaishi fake life for life[emoji23][emoji23][emoji23]

ni maboya sana
 
from forbes and not me 😂😂👇👇👇

D2F35E48-216E-4B6D-9539-508BDA13F5BB.jpeg

TANZANIA IS AHEAD OF SCHEDULE
 
walisema mombasa ina millionares wengi kuliko dar siku hzi huo wimbo umeisha ww huoni hata wimbo wa GDP umeisha siku hzi 😂😂😂😂

GDP tumewachia World Bank, IMF na African development Bank wawayangazie. Tukisema hamuamini. Kumbe this year World Bank walisema tuko number ngapi Sub Saharan Africa? Naomba nifahamishwe., nakumbuka pia walisema Tz has moved to Lower mido income., hao kwa sasa munawaamini.😂😂😂

Middle income ya Tz ni ngapi?., (just at the door next to LDC)
 
Nilicho gundua kwenye hizo comments,ni kwamba; wakenya wataumia siku Tz ikizindua Treni yake ya umeme,alafu,nikama wanalalamika eneo la western kutengwa na serikali ya Uhuru.
sio kutengwa tu ni kwamba SGR imegeuka kua white elephant sasa 😂😂😂
 
GDP tumewachia World Bank, IMF na African development Bank wawayangazie. Tukisema hamuamini. Kumbe this year World Bank walisema tuko number ngapi Sub Saharan Africa? Naomba nifahamishwe., nakumbuka pia walisema Tz has moved to Lower mido income., hao kwa sasa munawaamini.😂😂😂

Middle income ya Tz ni ngapi?., (just at the door next to LDC)
hatuskii mkiumba tena GDP na millionares na wakat nakumbuka ilikua haipiti page lazma tuskie huo wimbo 😂😂😂

na kama ulikua hujui hawa ni forbes sio mm 👇👇👇👇

TANZANIA IS AHEAD OF SCHEDULE

na kwa taarifa fupi tanzania is now official middle income hope volume is ok 😂😂 wimbo wa LDC umeisha kwa sasa
 
GDP tumewachia World Bank, IMF na African development Bank wawayangazie. Tukisema hamuamini. Kumbe this year World Bank walisema tuko number ngapi Sub Saharan Africa? Naomba nifahamishwe., nakumbuka pia walisema Tz has moved to Lower mido income., hao kwa sasa munawaamini.😂😂😂

Middle income ya Tz ni ngapi?., (just at the door next to LDC)
tanzania ilikua ishaingia middle three years back ila world bank walieka kama muda wamaangalizi so note that😂😂😂
 
GDP tumewachia World Bank, IMF na African development Bank wawayangazie. Tukisema hamuamini. Kumbe this year World Bank walisema tuko number ngapi Sub Saharan Africa? Naomba nifahamishwe., nakumbuka pia walisema Tz has moved to Lower mido income., hao kwa sasa munawaamini.😂😂😂

Middle income ya Tz ni ngapi?., (just at the door next to LDC)
so wimbo wa LDC umeisha sasa 👏👏😂 miaka 5 tu ya magufuli aisee nchi imebadilika
 
Back
Top Bottom