Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BACK TO NAIROBI AND ITS METRO AREAS (Courtesy: African Traveller)

Dar ikifika this level North East West and South, am out of Jamii forums.

















 
We nae unajisumbua bure ni nani asiyejua kwamba kenya ni nchi inayoongoza kwa slums na uchafu duniani, hiyo video umeweka siwezi tazama cz nitapoteza mbs zangu bure kwa kuangalia upupu.
Hauna hela, unaumia ukijua Kenya sio size yenu. Kaa kando wacha wenye data na wapenda ukweli (facts) watazame, kajinyonge. Hauna la kupinga.
 


Mombasa, twin sister ya Dar

we see 😂😂👇👇👇👇
D16902F1-A55E-47F6-9C62-C3072845B512.jpeg
 
huyu jamaa mfupi wa sauti sol nilikuwa nafikiriaga pengine ni gay (shoga) .. ikabidi hili jambo nikalo mwenyewe moyoni .. leo wamepost hii picha.. napata wasiwasi na maswali zaidi
View attachment 1542272

😂😂😂😂 But why? Anyways...anaweza akawa gay lakini to be honest huwezi kufanya judgement kwake eti kisa yeye Hapo hana partner wa opposite gender wa ku-pose naye. Kuna watu ambao hawana feminine characters/ wanaonekana straight na ukikutana nao utadhani mwili mzima umetengenezwa na testosterone lakini unakuta ni gay sema hawaweki wazi. But all in all, Sauti Sol wanatengeneza muziki mzuri na ni moja ya wasanii ambao Kenya inapaswa kujivunia.
 
I see uswazi culture is deeply rooted 😳 😳 😳 😳 . Dream houses kila corner!!! You'll must be allergic to green spaces.
punguza hasira najua mwiba umeingia vyema asante 👏👏👏😂😂😂😂 mumezoea slum sasa munahisi kila pembe ya dunia kuna slum
 
Back
Top Bottom