Afrika kumekucha Mzee.Hii ya Ghana ni noma aise!
View attachment 1542725
Mkuu train inayo kuja ina uwezo wa kutembea kwa zaidi ya saa moja hata umeme unapomakatika maana kwamba ina mfumo wa power storage yake binafusi inayo iwezesha ikalibiapo station kuacha njia yenye nguzo na kuanza kutumia umeme wake kwenye storage na inapo toka station ina rejea tena kwenye njia yenye nguzo za umeme.Hapa huwa najiuliza mbn hii reli nyingine haina nguzo so itakuwaje hapo kwa treni bila kuwa connected na waya? Wajuzi mnisaidie Geza Ulole Simon
hao hatuna presha nao waache waendelee kujikanyaga[emoji23][emoji23]wametoa list nyingine ila sisi bado hatupo [emoji23]
Wanatuchezea hawa! hizo zama zimekwisha..Taifa Huru ni Tanzania pekee.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
kumbe ilishaanza ujenzi...?Upcoming black rhino academy in Karatu Tanzania View attachment 1542860
Wenzako zao wanapaka rangi Kama mti christmassPedestrian friendly areas.
View attachment 1541796
View attachment 1541797
View attachment 1541798
View attachment 1541799
Washataoa na ada zaokumbe ilishaanza ujenzi...?
Safi sana, hz ndiyo mambo nataka kuhusu michezo.Upcoming black rhino academy in Karatu Tanzania View attachment 1542860
Mmatajiri watapita Kati masikini watapita chonjo..Those who were thinking this thing will not happen wajionee. Sasa wake na longolongo. The first most expensive ppp investment in Africa.
The Nairobi Express way
View attachment 1541980
Kumbe eldoret ni slum ...kenya slum ni kila cornerkwa vile hatuijui eldoret unatuona washamba sana 😂😂😂👇👇👇👇View attachment 1542348View attachment 1542349