Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tony254 anatukana kwenye mitandao yao na kufukuza watu.

Screenshot_20200821-005132.png
 
hao health workers wamekaa mithili ya wanafunzi wa kisutu girls 1970's. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umemsikia mmoja anasema elfu nane ikija sio yake.
Kwa maana hiyo mshahara wao ni 8,000kshs
Ambayo ni sawa na kama 160,000tshs.
hivi nurse wa dispensary bongo analipwa ngapi[emoji23][emoji23][emoji23].


maana hawa jamaa kila kukicha wanatuonyesha maajabu ya GDP $100 bln[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom