Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,702
- 107,146
2nd Big meat exporting facility..in 2 years..if we have them like 5 big kama hii na tan choice na kuongeza leather proccessing itakuwa vizuri kw forex yetu
Huyu Dr. Mhede c ndo pia yupo TRA?
Mbona hayo yanafanyika kuna viwanda viwili vikubwa vya ngozi Moshi na Dodoma ukiachia kile cha Mwanza pia DIT Mwanza wameanza kufundisha ujuzi wa uchakati wa ngozi!2nd Big meat exporting facility..in 2 years..if we have them like 5 big kama hii na tan choice na kuongeza leather proccessing itakuwa vizuri kw forex yetu
NDINDA naomba nitumie zile picha kuhusu mambo ya currency (comparison)
wakenya wengi huwa wanasema wana currency kubwa kuliko yetu...
kuna picha flan mbili ulituma inaonyesha currency ya kenya ni kubwa kuliko hio nyingine ila nchi ni tajir kuliko kenya
hawa wapuuzi wanasahau kuna kitu kinaitwa currency na kitu kingine purchasing power of currency
UKUMBUKE PIA UCHUMI WA KENYA NI BANDIA, ALL MEANS OF ECONOMY IS OWNED BY MINORITY, ESPECIALLY POLITICIANS AND WESTERNERSKenya was also ahead of schedule by far! Target was 2030., tukagusa in 2014 October. Mko na mbwe mbwe kweli😂😂😂😂
Majengo kama haya yanahitajika zaidi nyerere road...dah i can't wait for brt phase 3
Wanashindwa kuelewa kuwa,currency value has nothing to do with economic strength,mfano nilimuuliza mkenya mmoja kwamba,Kati UK sterling pound na US dollar,ni ipi yenye nguvu,na nchi ipi yenye nguvu kubwa kiuchumi hapa dunia,akapotea mazima.
Hii naisubiri kwa hamu sana, hii itaubadilisha mji sanaPhase 3 ndio itabdilisha kabisa kila kitu kuanzia town hadi Airport . Barabara muhimu kama Azikiwe, Uhuru, Bibi Titi, Nkurumah , Shauri moyo, hapatashikika tena.
Ipo Vingunguti Hii [emoji91][emoji91]
Vingunguti, Nyerere roadiko wap hii
Yeah naelewa..na na appericiate the efforts ..just want more and more steroids in our economy but so far so goodMbona hayo yanafanyika kuna viwanda viwili vikubwa vya ngozi Moshi na Dodoma ukiachia kile cha Mwanza pia DIT Mwanza wameanza kufundisha ujuzi wa uchakati wa ngozi!
Hapa huwa najiuliza mbn hii reli nyingine haina nguzo so itakuwaje hapo kwa treni bila kuwa connected na waya? Wajuzi mnisaidie Geza Ulole Simon