Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Yule mama balozi msaidizi wa US bora kaondoka naona tunaanza kuelewana.
Hapa lazima namba itasomwa kikubwa ni muda tu utasema
Watapata majibu yao very sooon
Wamelikoroga watalinywa
Hawa wasikupe tabu kabisa hawajawah kutusumbua...





Ahsante..i love this govt of hon.John pombe magufuliTumejibu mapigo, No more KQ Flights in tz effective immediately 🚫🚫🚫⚠⚠⚠View attachment 1523087
Kwn wewe ni billionaire mpka uwajueWako wapi weka hapa tuwaone.
Unatka Na Hotel Kmbe?nipe nikupe...HEMMINGWAYS KAREN ,NAIROBI(HOTEL)
View attachment 1521978
View attachment 1521979
View attachment 1521983
https://www.youtube.com/watch?v=dQy6v4520fA



Exactly
Km ivyokua ya kwako piaIf its your opinion no body will bother![]()


Heheeee!!Tanzania is the most urbanised country in East Africa.
Bwahaha!!naona umeshaanza jishuku shuku sasa..Maumiv.....kuwa n ndege n helcopter siyo kufika ubillionaire hivyo ni vitu vidog sana kwa ubillionaire.....nyie bado maskini tu....mnapinga mpka fact
Mbna wapingaVile k/koo inawatesa ...na hamna kiburi chaku dare it![]()
😀 soon nataka nianze kwenda pm ya bibie komora096 😀😀
Hii iwe ya kudumu
Yaani kupitia kwenye mitandao humu humu,serikali ya kenya inagundua ni kwa namna gani imepiga hatua kwa kukurupuka.


wajumbe wangu na mzee diwani msiniangushe,wanapotaka kuja mezani kuweka mzani sawa,chomekeni na route ya ATC kwenda kwao,maana mpaka sasa tuna mawe mawili mkononi wao wamemaliza yote.