Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
we kichuna wangwe,,,hebu nitajie basi hao millionaires na billionares 3000+ wa kikenya walio hide...Kwn wewe ni billionaire mpka uwajue
nakungojea mamaa
we kichuna wangwe,,,hebu nitajie basi hao millionaires na billionares 3000+ wa kikenya walio hide...Kwn wewe ni billionaire mpka uwajue
Mkuu hii kinondoni ...nilikuwa namjip yule pimbiHayo ni majengo 18 tu Nairobi yote inamajengo ya gorofa juu ya gorofa 6 yasiyo zidi 80 kama mnabisha leteni picha tu hesabu.
Kama hiyo picha ni magorofa 18 huki zidisha × 5 = majengo yote ya Nairobi juu ya gorofa 6 wakati dar ina majengo juu ya gorofa 6 zaidi ya 500







mkuu umewapa fact kabisa.....Ni aibu snaaa mko hapa na kelel zote ila K/koo tu inawahenyesha.. .na hamna uwezo wa kuilipa...ndio mjue Tz ikoje na mind you ...hiyo k/koo inamilikiw na waswahili wenyew
yani nimefurahi sana 👏👏👏👏👏Tumejibu mapigo, No more KQ Flights in tz effective immediately 🚫🚫🚫⚠⚠⚠View attachment 1523087
Wakija kuongea na sisi kuhusu kurudisha routi yao na sisi tutasema ATCL ipate routi ya Kenya pia.Wakenya tuliza huo Mtori kwani nyama ziko Chini, Mnayo yatafuta kwa TZ Mtayapata very soon...kumbukeni Air Tanzania inakuja kwa Kasi sana na TZ ndo nchi yenye watu wengi kuliko Nchi yyte ya EAC hvyo soko la usafiri wa anga ni kubwa.
Kupitia hichi mnachofanya ni kuipa Air Tanzania nguvu ya kukua zaidi ili kuteka routes nying kutokea TZ kwnda Nchi nyingine na hivyo ushindani mtakua mumeupunguza wnyewe ndani ya TZ na kwengineko.
Damn it, yaani mejikuta nshawapa Siri, hivi hadi mm namshinda Raisi na mawaziri wenu kwa kufikiria. Kenya is an adult who is stacked in adolescence.
ujue kenya huwa tunaifanyia fair sana miaka yote tokea enzi za muungano uliovunjika wa jumuiya ya EAC mpaka leo wenye matatizo huwa ni wao...Wakija kuongea na sisi kuhusu kurudisha routi yao na sisi tutasema ATCL ipate routi ya Kenya pia.
mkuu na bado hawa wakenya ni mapoyoyo sana wanafanyiwa fair wao wanaleta unyama sasa hii inakuwa ni unyama unyamaniNasikia na Malawi nao wamekiamsha kwa KQ, Unajifanya ni Kiranja wa Afrika.
View attachment 1523546

Mkuu na kuhusu KQ 255 ilikua ina subili wajichanganye haiwezeka Tz waje 19× a week afu kwao tuambulie patupu me naona kazi ndio imeanza wameingia mkenge wenyewe.mkuu na bado hawa wakenya ni mapoyoyo sana wanafanyiwa fair wao wanaleta unyama sasa hii inakuwa ni unyama unyamani![]()
Hahahaha, bado, KQ can still use sky team alliance partnership to circumvent this,,,bado tutaingia tanzania,
Sasa hivi tutakula sahani moja na wao.ujue kenya huwa tunaifanyia fair sana miaka yote tokea enzi za muungano uliovunjika wa jumuiya ya EAC mpaka leo wenye matatizo huwa ni wao...
mfano,,ndege zao tuliziruhusu ziendelee kufanya route Tz pasipo sisi kuingiza ndege zetu kwao.....na hatukuwa na time nao ila wao kila kukicha ni vibweka na Tz huwa siwaelewi ujue sisi huwa hatuna time nao
Haaahaaaa sasa njooni ....iyo partinership allience circumvent...mara paaa tunajifany mitandao inazingua ....Hahahaha, bado, KQ can still use sky team alliance partnership to circumvent this,,,bado tutaingia tanzania,






hahaha,,Tuna ngoja mfunge embassy,,Haaahaaaa sasa njooni ....iyo partinership allience circumvent...mara paaa tunajifany mitandao inazingua ....![]()
Mmeanzisha vita ambayo itawagharimu nyie zaidi, Huwez kusema Tz sio salama tusije kwenu alafu nyie muendelee kuleta abiria hapa,hv mnajiskia mnayoyafanya kua mko sahihi?Siku mtajua umuhimu wetu kwenye uchumi wenu mtajiheshimuHahahaha, bado, KQ can still use sky team alliance partnership to circumvent this,,,bado tutaingia tanzania,
Kweli, mhh, na bado mnataka ndege zenyu zifike Europe, mtatutafuta,Mmeanzisha vita ambayo itawagharimu nyie zaidi, Huwez kusema Tz sio salama tusije kwenu alafu nyie muendelee kuleta abiria hapa,hv mnajiskia mnayoyafanya kua mko sahihi?Siku mtajua umuhimu wetu kwenye uchumi wenu mtajiheshimu
ujue kenya huwa tunaifanyia fair sana miaka yote tokea enzi za muungano uliovunjika wa jumuiya ya EAC mpaka leo wenye matatizo huwa ni wao...
mfano,,ndege zao tuliziruhusu ziendelee kufanya route Tz pasipo sisi kuingiza ndege zetu kwao.....na hatukuwa na time nao ila wao kila kukicha ni vibweka na Tz huwa siwaelewi ujue sisi huwa hatuna time nao
Tutawatafuta baada ya nyie kujirekebisha mkiendelea na izo tabia zenu chafu kila mtu akae kwao kwanzaKweli, mhh, na bado mnataka ndege zenyu zifike Europe, mtatutafuta,
Mtangoja sana, tushawaonesha hatuwaitaji so tuli expect haya yote, wakenya si wajingaTutawatafuta baada ya nyie kujirekebisha mkiendelea na izo tabia zenu chafu kila mtu akae kwao kwanza