Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bagamoyo road ndio Tan house inapatikana? 😁
images.jpg
 
Dah ila tuwapongeza wakenya kwa hatua nzuri waliyofikia
miaka mingi iliyopita wakati nikiwa mtoto nilikuwa naunda gari za mabox huku nikivuta kwa kamba. ,,,leo nimefurahi sana kushuhudia gari lenye muonekano kama zile gari zangu za mabox nilizokuwa nikiunda wakati nikiwa mtoto
Ahahha mm nilizimodfy kwa kuweka mskanio kabisa
 
Unajua kenyata kakosema angewaambia wakenya kwamba watulie serikali iko makini kuhusu korona kuliko kuwaambia kwamba wasijilinganishe na nchi zinazoficha data kanakwamba hizo nchi hazijui inachofanya.kwamba umezitukana hizo nchi kwamba hazijielewi.yaani utasababisha mgogoro wa kidiplomasia.
Aliyejishuku.....?
 
Back
Top Bottom