Mmeona huu ujinga? sidhan kama Magu hatochukua maamuzi.. pili ndege zao zinakuja kufanya nn Tanzania kama raia wetu hawaruhusiwi kutua huko?
View attachment 1521841
dadeki safi sana
ugomvi wanaanzisha wao ila tukirudisha mapigo wanalia
Mmeona huu ujinga? sidhan kama Magu hatochukua maamuzi.. pili ndege zao zinakuja kufanya nn Tanzania kama raia wetu hawaruhusiwi kutua huko?
View attachment 1521841
Lwiva hata mm huwa ananivunja mbavu sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akae tuu akielewa hilo,ki ukweli Kenya sio taifa la mfano wala kujivunia,,,ni Nchi isiokuwa na usawa wala haki.Dada hakuna mtz mwenye chuki na mkenya hata kidogo,isipokuwa nyinyi,mna tabia ya kujiona wazungu-waafrika nakudharau wafrika wenzenu na hata kuwasaliti.ndio maana TUNAWADHARAU.nasisitiza, hakuna mtz mwenye chuki na mkenya hata kidogo!Sisi hatuwezi kuwaonea wivu kwa sababu,wakenya mna maisha maisha mabaya Sana, Kuna njaa,ukabila,ugaidi,upendeleo,unbalanced development,ufisadi uliokidhiri n.k pole Sana,India hayo mawazo potofu.
Huyu jamaa nishamjua ndo yule anajiita Matrixx, huwa anaji quote mwenyewe na wkt mwngne anajitukana mwenyewe, huyu jamaa ni hopeless sn huyu [emoji3][emoji3][emoji3]ww unajua hio bridge iko sehem gani?? usiwe una comment hujui una comment nn bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatujawahi kuchelewa wala kukosea....Taifa letu ni Taifa Huru kweli kweli na linaongozwa na Chuma JPM.Tumejibu mapigo, No more KQ Flights in tz effective immediately [emoji724][emoji724][emoji724][emoji615][emoji615][emoji615]View attachment 1523087
Noma sanaChoo na bafu wanalipia ksh5 hadi ksh20
Huyu ndiye Magu kumamamaeee[emoji3][emoji3][emoji122][emoji122]
Nilikuwa nakusubiri u zoom, jamaniee kazoom kakutana na block no mabanda, no slums in Tz[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nani alisema Dar hakuna slums?one of slums..MANZESE..VERY CLOSE TO CBD HADI barabara ya BRT YAONEKEKANA
View attachment 1522924
View attachment 1522925
Mkuu mwisho huyu mtoto mzr aunt komora096 atakuelewa tuu[emoji3][emoji3]Bibie upo
utaona tu kesho kwa media zao watakavyoanza kulia liadadeki safi sana
View attachment 1523165
View attachment 1523166
ugomvi wanaanzisha wao ila tukirudisha mapigo wanalia
Hii Ni two river mall,get your facts rightGARDEN CITY MALL ..
View attachment 1522978
Nasubili kesho kuna watali kitoka Russia pale KIAMeanwhile, wakiwakaribisha Wachina..Wachina nao wanakimbia virus.View attachment 1523200
utaona tu kesho kwa media zao watakavyoanza kulia lia
Nipe nikupe raha tupate,mistari ya Prezzo iyoTumejibu mapigo, No more KQ Flights in tz effective immediately [emoji724][emoji724][emoji724][emoji615][emoji615][emoji615]View attachment 1523087
na bado,maana wanaujinga sana hawa wakenya,,,wanaanzisha vitu vyakipuuzi tukirudisha pigo wanalia liaingia twitter uone.. mpk nacheka [emoji23][emoji23] wanasema tuko childish... lkn hii spana lazima waielewe
hiv inawezekanaje mtoto wangu alikuwa anakuja kwako na kucheza tu kawaida ila ghafla unamzuia kuingia kwako bila kunitaarifu.. afu mim nikimzuia mtoto wako unasema nimefanya utoto?? sema nn.. hii spana mbona bado ndogo sana [emoji375][emoji375][emoji1009] ... na hapa hakika Tanzania tumeuonyesha uanaume!!