Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ss Ndio Nn Hii
Vi project km hv vpo Kibao Kule Upanga Mbn
View attachment 1521964View attachment 1521967


GNA Real Estate


Barini Kilimani NAIROBI. Furnished 3 & 4 Bed en-suite plus DSQ
1596189646472.png


1596189693817.png
 
kusoma hujui hata oicha huoni? au ndo kujifariji kwenyewe,huu ni ukweli maskini hawezi kumudu kujenga wala kuishi kwenye makazi bora kama hayo ndio maana miradi ya aina hii kama safari city,burka ,kawe,kigamboni nk nk imejifia huko Tzn tangu Magu aingie madarakani maana uchumi umesinyaa
Pili hata ukifuatilia taarifa za household survey moja ya kigezo muhimu ni umiliki wa makazi bora
Unajaribu kuprove nini hasa...?
 
Kenya's capital Nairobi with a snow capped Mount Kenya in the background as seen from Nairobi National Park
1596190930825.png

1596190955740.png

1596191006363.png
 
Mkuu hawa wanaosema hawaoni kinachofanyika awamu hii Mungu anawaona tu, hili suala la uingizwaji holela wa vyakula na dawa nchini ulisababisha vifo vingi nchini na ilikuwa kawaida kusikia misiba ikifululiza mitaani mara nyumba hii kesho nyumba ile km unakumbuka utajua nnachomaanisha lkn pia ata ajali zilikuwa nyingi miaka ile ya Kikwete but now kiukweli vifo vimepungua kwa asilimia kubwa kdg tunapumua, hii ni kutokana na umakini wa serikali ktk kuhakikisha mwananchi angalau anakula chakula kilichothibitishwa lkn pia aanatumia dawa zenye viwango.
Mkuu kwenye hili huwa nashangaa imekuwaje,gafla ajali zikapungua hasa wakati wa sikukuu,siku izi ukimeza dawa na ukapata Allergy kuna namba za kureport na hizo dawa zinafatiliwa....Tuko mbele Tunakimbia kweli kweli!JPM 5tena.
 
Back
Top Bottom