komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Wazee wa barabara moja moja iliyokatiza katikati ya miji yao
Wazee wa barabara moja moja iliyokatiza katikati ya miji yao
Si huoni nilipoona hzo towers hta nikaachana naeHujielewi. J'obug nzima ndio unaita Sandton
Kuwa Na Nidhamu Basi.Am waiting the day Dar es Salaam will look like this. Maybe 2060.
View attachment 1520226
Hiyo nini kweli inayonyesha!?Kuwa Na Nidhamu Basi. View attachment 1520709View attachment 1520710
Yaani anadhani hatukijui Sandton.Si huoni nilipoona hzo towers hta nikaachana nae
HahahahaSayon Industry, Mboga Village
View attachment 1520677View attachment 1520676View attachment 1520679View attachment 1520678
Mto upi huu, sijaona Dar siku zote nimekuja huko.Mzee Kitulize
Sisi Mto Mzima Utausakafia na Zege!!
Any Question so far? View attachment 1520667View attachment 1520668View attachment 1520669View attachment 1520670
Unalinganisha au vipi!?Victoria, Dar es salaam Tanzania View attachment 1520675
Mkuu hivi mama ngina ni nani? Naskianga sana hiyo jina hapo ke...na huyo ngina ni nani? Ako hapo kenya?
Akili yako iko mkunduni, ukijamba unabaki kama lisanamu.Hongera zenu inaonyesha kweli nyie ni MIC,huku bongo sekta ya real estates ilishadorora toka JK atoke imebakia mashirika machache ya serikali wanajenga nyumba za serikali dodoma,elsewhere kila mtu anakomaa na dream house yake tu
Ndio maana hadi leo hii nssf wamekwama kumalizia majengo yao pale posta maana pesa hakuna na hata wapangaji ni hakuna pia,likewise mikoani
Jamaa boya sana, sijui huaga wanaona faraja gani kujiumiza nyoyo zaoYaani anadhani hatukijui Sandton.
tushamaliza hiliKwa hiyo hili nalo tumemaliza kama la millionares
Hatari iyo mkuu af kule mbele mbele kdg kuna majengo mengi yanainuliwa cjui ndo estates.
Heheheheheeee Dar kubwa sn huwezi maliza.Mto upi huu, sijaona Dar siku zote nimekuja huko.
unapata tabu kumjibu mkuu,,,,,,,,muacheni huyo..... endeleeni kumuenjoyLakini Tanzania inaongoza Africa katika Economic inclusiveness na Kanya inashika mkia, habari hiyo unaijua?
Hii Tower ni very beautiful. Naipenda. Tower zingine napenda Dar ni hizi.What about these...? View attachment 1520663
Leo Mwalimu wanjala umejisalimisha safi sana mwalimu hyo ndiyo tunaita fair battle co wengine kwao kila kitu ni kuponda tu, congratulations teacher Edward WanjalaHii Tower ni very beautiful. Naipenda. Tower zingine napenda Dar ni hizi.
View attachment 1520807View attachment 1520808View attachment 1520809View attachment 1520818


Waluhya hawanaga noma wanakuwaga watu peace sometimes,Leo Mwalimu wanjala umejisalimisha safi sana mwalimu hyo ndiyo tunaita fair battle co wengine kwao kila kitu ni kuponda tu, congratulations teacher Edward Wanjala![]()


