kwenye maneno 10 ya mkenya chukua moja uondoke 😂😂😂😂 hio tower inaitwaje
asante kwa render 😂😂😂😂Inaitwa ichoboy towers 😂 😂 😂
Karibuasante kwa render 😂😂😂😂
Waache wajichanganye waingizane mjini watawekeana hadi vinyesi kisha wauziane na kudai ni dawa kutoka tzInayotumika na iliyothibitishwa na serikali ni NIMRICAF sijajua hii wameitoa wapi
Au labda hii ni zile za mitaani watu walizozitafiti wenyewe kwa ajili ya tiba.
Hv wakenya hawawezi kuongea mambo yao bila kuhusisha Tz au Magufuli?


His legacy projectsUhuru's petty project! Ur Corona money From WB and IMF is being diverted to here!
Hujielewi. J'obug nzima ndio unaita SandtonHebu tuone kama kuna ukweli hapa Sandton hii hapaView attachment 1519172View attachment 1519173View attachment 1519174View attachment 1519175View attachment 1519176View attachment 1519177View attachment 1519178
Hehehehee kwn Sandton iko wapiHujielewi. J'obug nzima ndio unaita Sandton


Halafu eti wanajiita police service wakati matendo ni ya police force.Utadhani wanaua nyoka
Mombasa is on a roll
Ukiona hivo jua tumeanza kuwatawala ki fikra,,Hv wakenya hawawezi kuongea mambo yao bila kuhusisha Tz au Magufuli?
Kunapendeza,tofauti ya upperhill na sandton ni kwamba,Sandton ni tajiri sana,makampuni makubwa yanaoffice pale,kimiundombinu kumepewa kipaumbele sana na hata residential zake ni Za hali ya juu...jipeni muda na malengo mnaweza kufuata nyayoThis is Upperhill Nairobi
View attachment 1519923
Hao ndo wenye Kunyaland mkuu....Hao wengine ni wazee wa slums republicMkuu hivi mama ngina ni nani? Naskianga sana hiyo jina hapo ke...na huyo ngina ni nani? Ako hapo kenya?