Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kigezo hicho cha real estate kilichaguliwa na nani, au ni mawazo yako ili angalau uonekane japo na wewe unajua kuzungumza?
kusoma hujui hata oicha huoni? au ndo kujifariji kwenyewe,huu ni ukweli maskini hawezi kumudu kujenga wala kuishi kwenye makazi bora kama hayo ndio maana miradi ya aina hii kama safari city,burka ,kawe,kigamboni nk nk imejifia huko Tzn tangu Magu aingie madarakani maana uchumi umesinyaa
Pili hata ukifuatilia taarifa za household survey moja ya kigezo muhimu ni umiliki wa makazi bora
 
Nashukuru leo mmekubali kwamba moja ya indication ya uchumi mzuri wa nchi ni makazi Bora,Sasa tuambie,huko kibera,kwa baba dogo,mathare inaonesha Nini mkuu!
 
Am waiting the day Dar es Salaam will look like this. Maybe 2060.
View attachment 1520226
Pull up your sleeve to reach Arusha first, Dar mnapoteza muda tu

Screenshot_20200723-072141~2.png
 
kusoma hujui hata oicha huoni? au ndo kujifariji kwenyewe,huu ni ukweli maskini hawezi kumudu kujenga wala kuishi kwenye makazi bora kama hayo ndio maana miradi ya aina hii kama safari city,burka ,kawe,kigamboni nk nk imejifia huko Tzn tangu Magu aingie madarakani maana uchumi umesinyaa
Pili hata ukifuatilia taarifa za household survey moja ya kigezo muhimu ni umiliki wa makazi bora
Nimeuliza swali rahisi sana, kwamba nani aliweka hicho kigezo?, Kama ni wewe unapaswa kusema hivyo ili tuanze kukitumia rasmi, ili tutakapoulizwa "source" tukutaje wewe, au kuna ubaya kukutumia wewe kama "source? ".
 
Hongera zenu inaonyesha kweli nyie ni MIC,huku bongo sekta ya real estates ilishadorora toka JK atoke imebakia mashirika machache ya serikali wanajenga nyumba za serikali dodoma,elsewhere kila mtu anakomaa na dream house yake tu
Ndio maana hadi leo hii nssf wamekwama kumalizia majengo yao pale posta maana pesa hakuna na hata wapangaji ni hakuna pia,likewise mikoani
Tanzania ina Dola Milionaires na Billionaire wengi kuliko Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi Combined.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera zenu inaonyesha kweli nyie ni MIC,huku bongo sekta ya real estates ilishadorora toka JK atoke imebakia mashirika machache ya serikali wanajenga nyumba za serikali dodoma,elsewhere kila mtu anakomaa na dream house yake tu
Ndio maana hadi leo hii nssf wamekwama kumalizia majengo yao pale posta maana pesa hakuna na hata wapangaji ni hakuna pia,likewise mikoani
Pale Mkenya Ana mpongeza mkenya mwenzie
Yaani Mbuzi kwa mbuzi
Afu Unajaribu kutaka Kubishana na Watanzania kwa lazima
Nao walisha kujua na kukupuuza
 
Ndio hao waliokuwa wanafungulia mabwawa makusudi ili nchi iingie kwenye mgao wa umeme ili wauze majenereta
Yn watu waliotumbuliwa wana hasira sn na Magu lkn wanasahau kwamba walikuwa wanaiingizia serikali hasara kwa kuwalipa mishahara wasiyostahili na bado wapo wengi tu mkuu bado wapo serikalini wazee wa vimemo.
 
Nchi ilikuwa imeoza sana halafu utasikia mkumbaf mmoja eti JPM hajafanya kitu,

Yaani walikuwa wanazima umeme makusudi na kufungulia mabwawa ili wauze majenereta yao,

Sasa hivi mgao wa umeme umekuwa historia wakati kipindi kile ulikuwa unakatika asubuhi na kurudi usiku na hii ilipelekea nchi kukosa wawekezaji waliokuwa na mpango wa kufungua viwanda.
 
Back
Top Bottom