Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

VALLEY VIEW OFFICE PARK
1596195183590.png

KINGS MILLENIUM APARTMENTS IMARA DAIMA
1596195303729.png

1596195345855.png
 
Wewe ukiangalia unapaona pako sawa?ardhi mnayo kwann hayo majengo yabanane hakuna paved road nyumba hazina finishing ya kueleweka?
kindly be patient naona uko na mambo mengi..am gathering photos za slums za dar es salaam by tonight i will post them here..si mlisema dar hakuna slums? nitapost hapa ..from kigogo,tandale.mazense,buguruni sikita..buguruni kwa mnyamani
 
Wewe weka sehemu mbovu inaonekana tu,Nataka useme huo mtaa wewe unauona uko sawa ?
 
Wewe ukiangalia unapaona pako sawa?ardhi mnayo kwann hayo majengo yabanane hakuna paved road nyumba hazina finishing ya kueleweka?
We ungejiuliza mbona kariakoo ibanane? Kwani ardhi hamna?
 
Kilimani umeiona?hapa hakuna mtu ataongea neno baya kwakua kuko sawa
tapatalk_1595426230386.jpeg
 
Back
Top Bottom