Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,173
- 29,788
Flyover and interchange with BRT system babyWenzako walinengua sana hapa na hilo hilo neno, wewe unalileata sahi
Flyover and interchange with BRT system babyWenzako walinengua sana hapa na hilo hilo neno, wewe unalileata sahi
We shangazi ni watchman nini nakuina UskMbna umeleta kitu ambacho hakieleqeki
.
Lete picha na jina km mwenzako
We shangazi ni watchman nini nakuina UskMbna umeleta kitu ambacho hakieleqeki
.
Lete picha na jina km mwenzako
Mombasa road iko NairobiKenya vs dar es salaam
mombasa road ina kitu gani cha maana hio barabara nimepita zaidi ya mara mia nikitokea namanga borderMombasa road iko Nairobi
We nimpumbavu hiyo ni mwanzaMbna umeleta kitu ambacho hakieleqeki
.
Lete picha na jina km mwenzako
Mkuu hawa wanaosema hawaoni kinachofanyika awamu hii Mungu anawaona tu, hili suala la uingizwaji holela wa vyakula na dawa nchini ulisababisha vifo vingi nchini na ilikuwa kawaida kusikia misiba ikifululiza mitaani mara nyumba hii kesho nyumba ile km unakumbuka utajua nnachomaanisha lkn pia ata ajali zilikuwa nyingi miaka ile ya Kikwete but now kiukweli vifo vimepungua kwa asilimia kubwa kdg tunapumua, hii ni kutokana na umakini wa serikali ktk kuhakikisha mwananchi angalau anakula chakula kilichothibitishwa lkn pia aanatumia dawa zenye viwango.
Hao wanaosema hawaoni kilichofanyika ndio wale waliozoea magendo sasa mianya yao imezibwa wamebaki kulalamika.Mkuu hawa wanaosema hawaoni kinachofanyika awamu hii Mungu anawaona tu, hili suala la uingizwaji holela wa vyakula na dawa nchini ulisababisha vifo vingi nchini na ilikuwa kawaida kusikia misiba ikifululiza mitaani mara nyumba hii kesho nyumba ile km unakumbuka utajua nnachomaanisha lkn pia ata ajali zilikuwa nyingi miaka ile ya Kikwete but now kiukweli vifo vimepungua kwa asilimia kubwa kdg tunapumua, hii ni kutokana na umakini wa serikali ktk kuhakikisha mwananchi angalau anakula chakula kilichothibitishwa lkn pia aanatumia dawa zenye viwango.
Kwa wadosinipe nikupe...HEMMINGWAYS KAREN ,NAIROBI(HOTEL)
View attachment 1521978
View attachment 1521979
View attachment 1521983
https://www.youtube.com/watch?v=dQy6v4520fA