Ppmosile
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 1,232
- 1,890
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wazee wa maputo wanajiona wao ndo wamezidi kila kitu
Hawataki kuckia ukweli huu, wamekuwa ni watu wa kujipa matumaini wasiyokuwa nayo ukimletea picha za Sandton anakwambia mbn umeweka joburg nzima, hv kweli Upper hill ufananishe na Sandton kweli jmn?Kunapendeza,tofauti ya upperhill na sandton ni kwamba,Sandton ni tajiri sana,makampuni makubwa yanaoffice pale,kimiundombinu kumepewa kipaumbele sana na hata residential zake ni Za hali ya juu...jipeni muda na malengo mnaweza kufuata nyayo
Ss mbn wanabisha kwmb tumewazd [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwahyo hii ndo mnafananisha na Sandton kweli nyie mna ujinga mob [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]This is Upperhill Nairobi
View attachment 1519923
😀😃😀😃Kwa hiyo hili nalo tumemaliza kama la millionares
HESHIMA KWA KARIAKOO KWANZAA [emoji23] [emoji23] View attachment 1520041View attachment 1520042View attachment 1520043
Soo old and ugly,inakaa Jerusalem ile ya yesu 😂 😂HESHIMA KWA KARIAKOO KWANZAA [emoji23] [emoji23] View attachment 1520041View attachment 1520042View attachment 1520043
HESHIMA KWA KARIAKOO KWANZAA [emoji23] [emoji23] View attachment 1520041View attachment 1520042View attachment 1520043
Wao kila kitu lazima wabisheSs mbn wanabisha kwmb tumewazd [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
is this reliable source, which research is this?
KQ tayari imekua mfu
Hahahaha wanafungua anga bila cabin crew
Meanwhile Airtanzania inazidi kuongeza operations
Majengo ya wazungu hayo, hahaha
haaaaaaaaa😟😟😟😟HESHIMA KWA KARIAKOO KWANZAA [emoji23] [emoji23] View attachment 1520041View attachment 1520042View attachment 1520043
Hawana cha kupost mkuu mana Nairobi ishaisha lkn cc tuliwaambia humu kwamba Dar bado hatujaimaliza na maeneo mengi hatujayapost humu wakabisha ila now wanaona [emoji3][emoji3]hizi picha zimechoka kutumwatumwa humu, zipumzishe