Hahahahahah hebu angalia hapa af chini, nchi yyte icyokuwa na haya mambo ujue ni shit hole na kwamba raia wa nchi hiyo wanapaswa kufanyiwa majaribio ya kupata dawa cz hawana faida hapa dunianiTanzania is just a shithole country




Aisee what a plan, huyu Magu kwakweli Mzee Nyerere huko alipo anafurahi sana



Magu anatukosha saana.Mungu ambariki tuu.Aisee what a plan, huyu Magu kwakweli Mzee Nyerere huko alipo anafurahi sana![]()
Utasikia kuna mpuuzi anasema JPM hajafanya chochote.
Mangiri wamejazwa ujinga na kina Mbowe na zito..hawataki kuona wala kuskia.Utasikia kuna mpuuzi anasema JPM hajafanya chochote.
Tanzania ndiyo nchi pekee Afrika ambayo ni nchi, zingine zote ni mikusanyiko ya makabila - Prof kabudi. Halafu zaidi ya hapo tunaongea lugha moja na tuna utamaduni mmoja. Hivi vitu watu wanavichukulia poa lakini ndiyo msingi wa amani na maendeleo.
Tukianza kurasimisha mpato yetu yote, GDP yetu itakuwa mara tatu ya hiyo, ona tuu tulivyoanza kujenga masoko ya madini, mapato yalivyoongezaka ghafla (kama mara kumi). Sasa fikiria tukifanya hivyo kwenye nyumba zote nchini, kwa wakulima, wavuvi, wafugaji n.k
Halafu kuna njia nyingi sana za kutengeneza miundombinu ya biashara, mfano serikali inaweza kuweka mfumo wa anwani za nyumba na sehemu za biashara. Hii inaweza kufungua tasnia mpya ya biashara za vitu mitandaoni na kuleta fursa kwa kuanzishwa kwa kampuni za usafirishaji. Mtu anaweza kununua mazao au samaki mtandaoni na kusafirishiwa mpaka mlangoni mwake. Kampuni kama Amazon ilifanikiwa kwasababu ya mfumo madhubuti wa anwani kuwepo nchi za magharibi.
Tuko na upinzani wa ovyo sana,Mangiri wamejazwa ujinga na kina Mbowe na zito..hawataki kuona wala kuskia.
Kabla JPM hajaondoka madarakani suala la maji na umeme mijini na vijijini Tz itaongoza ukanda wote huu....Barabara tuna push wilaya zote ziunganishwe kwa lami,huduma za afya kuanzia ngazi ya vijiji hadi kitaifa mambo yanazidi kua Mswano
Hata ukiangalia ule ujinga Zitto alioanfika huku,utajua tuu ni uouuzi wa kukinadi chama chake,inanishangaza sana kuona wapinzani wakikosa njia mbadala ya kujiimarisha kuliko kukosowa.....ila mwisho wao unakuja...Wananchi wengi wana ya moyoni.Tuko na upinzani wa ovyo sana,
Mimi kinacho nishangaza ni wapinzani walivyo kuwa wanalazimisha serikali iweke lockdown na kufungia watu ndani lakini cha ajabu sasa hivi wanafanya mikutano yao ya ndani wanajazana halafu hakuna social distance wala kuvaa barakoa.
What about your failed state+ trushcan+shithole+slums+traitors= kenya actual its not a nation its just a peace of land which lived by bunch of slaves which are in stand mode to do anything for there masters....Tanzania is just a shithole country
Ndio nature ya binadam huwez kukubalik n wote...lkn namin moyoni wanaelewaUtasikia kuna mpuuzi anasema JPM hajafanya chochote.
Sasa Hivi nyumba nyungi sana Zina Namba, Postcode na Namba ya nyumba. Posta wanafanya toka 2014.
Hata uswahilini nyumba zina namba . Ukitaja mtaa flani nyumba namba flani hupotei, siku hizi delivery companies nyingi sana.
Kwahiyo wafanyakazi wa posta wanaweza kutuma barua nyumbani au bado inabidi mtu anende kufungua sanduku la posta? Vipi kuhusu muundo wa anwani za nyumba kama hiyo namba 55 ukoje?
1. REA - umeme vijijin
2. Nyerere Power Plant
3. SGR
4. Dar, Tanga, Mtwara Ports
5. Minerals
6. EACOP - bomba la mafuta kutoka Uganda
7. Viwanda
8. you can add..
vitapaisha sana uchumi wetu na kuwatimulia vumbi hawa majirani kuelekea kuwa Upper Middle Income Country
Kwenye minerals...hasa .. REM, Iron, Graphite we just need processing industries in the country lets say kwa graphite kuwe na viwanda vya kuprocess na kutengeza finished materials..iron hvyo hvyo..
8..Kuna LNG plant hainaanza kujengwa ..estinated cost $30bn..wanasema kitendo cha kuanza ujenzi wa hii itatupa 1% rise in GDP kama sijakosea bdo ikianza kutumika..
7..Viwanda..... La kuongezea....Kuna proposal ya kujenga biggest fetlirzer kwenye point ya viwanda $1bn ukiachana na ujenzii...ajira ni nying mno..itapunguza import ya mbolea na kuongeza exports..ikikubali hii itayoobost sana kwenye agriculture..na viwanda at once
9..Proper management of Air Tanzania..Air Tanzania has plans to buy 2 new airbus a220..plus 2 new dreamliners ..and a 767 in next 5 years hizi order zitakuwa complete...managing this birds properly itasaidia..hii ni kwa view yangu..ntaongelea zaid kwa mfano hapa chini
4 dreamliners,4Airbus,5 q400s
Strategic routes...
Joburg-Mumbai via Dar,
Harare-Lusaka-London Via Dar,, Kinshasi-Lubumbashi-Guangzhou via Dar..
Hizi ni route tatu muhimu ambazo ATC ikijikita zitaleta profit sana ..kwanini?..hio miji yote hamna direct route lazima watu wapite Via NBO au Dubai kwenda huko...AtC with 4 dreamliners and 4 airbus inaweza zifanya hizo route..we need good schedules..fair price ...na better services..
Distance ya airbus 3 kati ya nne zinaweza kwenda Lubumbashi, Harare, joburg kwa during day na kurudi jion..kisha dreamliner 3 kati ya 4 ..zinaenda ,Mumbai,London,Guangzhou... Asubuhi mida ya saa tatu nne zimerud..watu wana connect to miji yao..
767 itatusaidia ku export mazao yetu n dola kubaki nchini badala ya kulipa ...company za Nje
10..
Nakumbuka walipoanzisha huu mchakato kipindi cha JK, ila sikudhani kama umeshaenea nchi nzima.Posta sasa hivi wana CUM ( City Urgent Mails) kama EMS au DHL unaletewa ulipo.
Kuhusu nama kwa service provider kama garbage collector ukimpigia simu lazima ajue nyumba namba ngapi. Kuna improvement kuliko miaka ya Nyuma.