Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Njombe

Soko kama linavyoonekana hapoo
255764274530_status_b14d1912b6f6480490ed4056be91c81a.jpg
 
Tuko na upinzani wa ovyo sana,

Mimi kinacho nishangaza ni wapinzani walivyo kuwa wanalazimisha serikali iweke lockdown na kufungia watu ndani lakini cha ajabu sasa hivi wanafanya mikutano yao ya ndani wanajazana halafu hakuna social distance wala kuvaa barakoa.
Afrika tatizo ni umaskini mkuu ndiyo maana watu wanakuwa wanafki.
 
Some Kenyans really annoy me...when u go to twitter, fb and other platforms, anything they talk about Kenya is negativity alone.it's time we start appreciating what our government have done so far and pray for more
 
Hii ndio rangi halisi ya wakenya ukiona nyingine ujue ni unafiki
Kwa hiyo kulingana na mawazo yako Tanzania ni heri kushinda Cuba na Croatia?View attachment 1489707View attachment 1489708
Habari za vijiweni au? Leta link ya world bank sio porojo Susan.
Ccm nyie na kupika data ni kama chada na Pete.
Susan bado hujapata link ya world bank kua Tanzania inaingia middle income?
Nilikwambia uachange porojo na kuongea vitu ambavyo unataka kuviskia wewe.
 
Back
Top Bottom