The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
We acha tu mjanja mzima unaishije ldc bhnMjanjq kama Mimi daktari imagine![]()



We acha tu mjanja mzima unaishije ldc bhnMjanjq kama Mimi daktari imagine![]()



Kimoyomoyo nlikuwa nasema sitazielewa juhudi mpk nione Tz inatoka ldcMjanjq kama Mimi daktari imagine![]()




***** bana Kwan nnAmkeniii Amkeniii...Mzee baba JPM katangaza rasmi muda huu kuwa View attachment 1494521
Nenda kariakoo pale utawakuta wazambia,wakongo,wamalawi,wacomoro,warundi wakinunua bidhaa na kupeleka kwao kuuza,hiyo eastleigh ya huko kunyaland anaijua nani!?Nani kakudanganya kua kariokoo ndio market kubwa in the region?. Do u know Eastleigh Nairobi?.... Eastleigh pekee ina mall nyingi kuliko Tz nzima
Ww unawazimu ww kwahyo hayo majengo ndio wakaishi wakazi wa kwny slums, hv ninyi mtaacha kuongopewa lini, yn wanasiasa wanayachezea makalio yenu wanavyotaka, hayo majengo hata baadhi ya wakazi wa Dar ambao hakuna slums hawawezi afford ndo itakuwa nyie wazee wa kibera?Hiyo ndio tunaita slum mentality, wengi wenu hapa najua huishi kwenye mabanda ndio sababu mnashanga nikisema affordable homesView attachment 1494550
sasa naona umekuwa sevendown....Nimejua tu wewe ni kilaza mwenzangu




Mimi kama mwanajamii wa jf nafarijika sanaPongezi nyingi zinatoka UG.
,tulianza huu uzi kama ldc now what....Tuko league moja na nyang'auTofauti ni kwamba kuna middle income moja inategemea misaada ya chakula.Mimi kama mwanajamii wa jf nafarijika sana,tulianza huu uzi kama ldc now what....Tuko league moja na nyang'au
ni kweli mkuu,,,,,annael inabidi leo aonekane hata kidogo.....Mimi kama mwanajamii wa jf nafarijika sana,tulianza huu uzi kama ldc now what....Tuko league moja na nyang'au
hivi vitu vitawacost sana wakenya......sasa kilichobaki ni kuwaonyesha how middle income inapaswa kuea......Tofauti ni kwamba kuna middle income moja inategemea misaada ya chakula.
Kwakweli Annael alikuwa na moyo wa kishujaa sn cz by the time anapambana na hawa wajinga mambo mengi yalikuwa bado, nilikuwa nachungulia naona annael anapambana mpk na baadhi ya WaTz wakiamini kuwa Nairobi iko mbele ya Dar kitu ambacho hata mm kimoyomoyo nilikuwa nakubaliana nao ila roho ilikuwa inaniuma sn, bt nguvu zikanijia cku ambayo Magu anaenda kuweka jiwe la msingi ujenzi wa sgr hapo nkasema hawa wajinga hawaniambii kitu nowni kweli mkuu,,,,,annael inabidi leo aonekane hata kidogo.....
huu uzi unaonyesha picha halisi ya Dar ilipotoka na inakoelekea.....
wakenya walisnza kwa dharau mara ooh airport baafa ya kipindi tuka clear mara ooh fly over tunawajengea sasa vitu vyenye ubora kuliko yale matofali yao ya kupanga wakaja na LDC sasa story nayo imefutika,,,,
sasa wanatafuta chakuongea....
hey kenyan whats next?



ni noma tunarudi kwenye kiti chetu na hatutowaachia hata meza tutawaachs emptyKwakweli Annael alikuwa na moyo wa kishujaa sn cz by the time anapambana na hawa wajinga mambo mengi yalikuwa bado, nilikuwa nachungulia naona annael anapambana mpk na baadhi ya WaTz wakiamini kuwa Nairobi iko mbele ya Dar kitu ambacho hata mm kimoyomoyo nilikuwa nakubaliana nao ila roho ilikuwa inaniuma sn, bt nguvu zikanijia cku ambayo Magu anaenda kuweka jiwe la msingi ujenzi wa sgr hapo nkasema hawa wajinga hawaniambii kitu now![]()
Pongezi nyingi zinatoka UG.
The real middle income country in East Africa.hivi vitu vitawacost sana wakenya......sasa kilichobaki ni kuwaonyesha how middle income inapaswa kuea......
hakianani kuanzia leo nakuendelea ni mwanzo mpya wa kenya kuvuliwa chupi
Huwa hadi wasikie habari inayo wafurahisha ndio wanakuwa faster kuziripoti.Media houses za kunyaland zipo kimya nini?? Hawaamini macho yao.
Wamegundua Tz is now the real threat to their country.Huwa hadi wasikie habari inayo wafurahisha ndio wanakuwa faster kuziripoti.
Toa huu uchafu, sisi tuendelee na mambo yetu ya WB.This waiyaki highway 25km is so wide with 10 lanes
View attachment 1494641