Huyu mshenzi mshenzi makala zake nyingi ktk east African magazine ni kuikandia tz sijui tumemkosea niniHuyu Obbo fala sana ni Mganda Mseveni alimtimua Uganda yupo kule Nairobi kama Mkimbizi!
Ndo maana Museveni alimtimulia mbali! Sijawahi kuona akikosoa Kunyaland hata siku moja! yuko very biased Mbaganda huyu!Huyu mshenzi mshenzi makala zake nyingi ktk east African magazine ni kuikandia tz sijui tumemkosea nini
Akiwakosoa hao hana pengine pa kukimbilia.Ndo maana Museveni alimtimulia mbali! Sijawahi kuona akikosoa Kunyaland hata siku moja! yuko very biased Mbaganda huyu!
Hasa kipindi hiki cha covid19 jpm anatishaWapi MK254,amedilisha ile avatar, au bado?wakenya wameshangaa hii achievement ya ghafla kutoka TZ.
Kila kitu kinapimwa kwa USD ilo siunalifaham lakin...imagine Zim wana billionaire na kenya na mbwembwe zenu zote hakuna hata anaekaribiaNdio kuna millionaire wengi kama Tz sababu noti ya elfu moja ya Kenya huko ni million
Yani kama unatumia mtandao wa Vodacom au tigo unapaswa kua na line moja ya Vodacom sio unakua na namba mbili za Vodacom. ..kama unanamba ingine ya Vodacom basi itakua kwa ajili ya biashara sio matumizi ya kawaida mf mpesa nkWadau hii issue ya Single sim na Kupigwa fine imekaaje maana ni kama sijaielewa aiseeee View attachment 1497216
Faida za huu uamuzi ni zipi kiundani zaidi?Utasikia kuna mpuuzi anasema JPM hajafanya chochote.
Hahahaha Tz inaongoza EA na nchi nyingi za Afrika kwa kuwa na dollar billionaire na millionaires wengi na juzi tu hapa kaongezeka mwingine anaitwa Laizer mmasaiNdio kuna millionaire wengi kama Tz sababu noti ya elfu moja ya Kenya huko ni million




Wanaongea ukweli c ni nyie mnasema freedom of speech? Hyo hali ilikuwepo hata huku Tz even I ckuwa napenda mambo yalivyokuwa yanaenda enzi zile na nilikuwa nakosoa mno pengine kuliko hao Wakenya so tulia na nyie mpambane mpate viongozi km huyu aliyepo kwetu.Some Kenyans really annoy me...when u go to twitter, fb and other platforms, anything they talk about Kenya is negativity alone.it's time we start appreciating what our government have done so far and pray for more
Hahahaaa mkuu usisahau D-N-A kwa Wakenya ina operate upesi sanaHii ndio rangi halisi ya wakenya ukiona nyingine ujue ni unafiki![]()



We acha mkuu kwa upande wng nilickia fahari sn, mpk ss nakoment hapa najickia fahari sn.Sidhani kama alipata usingizi Tz ilipoingia middle income.
Itakua hadi Leo anatembea na mavi alitojiharishia siku alipothibitisha ukweli.



Ndo pale Chang'ombe au coNyerere Road / Kawawa Road Junction Flyover U/C
View attachment 1497301
View attachment 1497302
View attachment 1497303
View attachment 1497304
View attachment 1497305
View attachment 1497306
View attachment 1497307
View attachment 1497308
View attachment 1497309