Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,888
- 103,753
GDP ambayo watu wake wanategemea Chakula cha msaada toka Arabuni na China. Hahahaha, hahahahaNa huu ushuzu wote, failed states kama Zimbabwe bado ina GDP/capita kubwa kuliko Tanzania??View attachment 1497067
Sorry Nimeomba evidenceGeza Ulole do you know anything about the Kionga Triangle south east of the Ruvuma river? Go and research at you own comfortable time. And most importantly stop calling people names without any critical evidence.
Tanzania Kuna waisilamu wakristu, wahindhu na wapagani..usishangae baadhi ya structures zikafeature hicho kituMbona inakaa msikiti?
Hivi hizi barabara za pembeni mwa reli kuna mpango wowote wa kuziboresha kwa kuweka lami?
Hivi hizi barabara za pembeni mwa reli kuna mpango wowote wa kuziboresha kwa kuweka lami?
... ila nadhan kuna barabara zitajengwa za kuendea vituoni kutoka barabara kuu za maeneo husika ila sio barabara za kufuata reli nzima (parallel)Truth tz tupo $1800 huo ndiyo ukweli wewe niambie nchi kama Zambia inawezekana vipi kushinda tz Mabeberu wanachukia tz kwa sababu ya ujamaa wetu na historian ,sisi hatujali report za makaratasi hata wakenya na wageni wote wanao fika Tanzania huona huo ukweli ndiyo maana tz Mara zote inakuwa surprise machoni mwa wageni uchumi wa Zambia hata wa Ghana ni wamakaratasi hapa Africa ni tz pekee inayofanya mapinduzi ya kweli kiuchumi na kwakuthibitisha hilo wewe subiri utaona namna tz inavyo anza kuchukiwa na viongozi uchwara wa Africa kwa kuhofia wananchi wao kuwakataa kwa sababu ya influence ya tzNa huu ushuzu wote, failed states kama Zimbabwe bado ina GDP/capita kubwa kuliko Tanzania??View attachment 1497067
Tanzania ndiyo nchi pekee Afrika ambayo ni nchi, zingine zote ni mikusanyiko ya makabila - Prof kabudi. Halafu zaidi ya hapo tunaongea lugha moja na tuna utamaduni mmoja. Hivi vitu watu wanavichukulia poa lakini ndiyo msingi wa amani na maendeleo.Truth tz tupo $1800 huo ndiyo ukweli wewe niambie nchi kama Zambia inawezekana vipi kushinda tz Mabeberu wanachukia tz kwa sababu ya ujamaa wetu na historian ,sisi hatujali report za makaratasi hata wakenya na wageni wote wanao fika Tanzania huona huo ukweli ndiyo maana tz Mara zote inakuwa surprise machoni mwa wageni uchumi wa Zambia hata wa Ghana ni wamakaratasi hapa Africa ni tz pekee inayofanya mapinduzi ya kweli kiuchumi na kwakuthibitisha hilo wewe subiri utaona namna tz inavyo anza kuchukiwa na viongozi uchwara wa Africa kwa kuhofia wananchi wao kuwakataa kwa sababu ya influence ya tz
Zimbabwe kuna matajiri wengi kule hakuna maisha ya kipuuzi kama kenyaNa huu ushuzu wote, failed states kama Zimbabwe bado ina GDP/capita kubwa kuliko Tanzania??View attachment 1497067
Na mbona Kenya wamewapita kwa GDP per capita??Zimbabwe kuna matajiri wengi kule hakuna maisha ya kipuuzi kama kenya
It's not the case both are the middle Income countries.Na huu ushuzu wote, failed states kama Zimbabwe bado ina GDP/capita kubwa kuliko Tanzania??View attachment 1497067
Tanzania is just a shithole countryIt's not the case both are the middle Income countries.
wimbo wa LDC umeisha sasa munakuja na wimbo gani 😂😂😂😂Tanzania is just a shithole country