6.Usimamizi dhabiti wa Rasilimali.
- Uwepo wa usafiri uhakika wa Meli
- Masoko & Bus Terminals
6.Usimamizi dhabiti wa Rasilimali.
Hapo Nairobi national park wanyama wataathirika sana na huo moshi...
Ofcourse Lithium ni muhimu kwa sasa tunapoongelea electric cars etc, but Sio Li tu, we currently have two large scale Rare Earths mines in the pipeline, itaanza productions before end of this year. Na jinsi China ambayo ndio inamiliki over 75% ya global supply ya Rare Earths inavyopambana kiuchumi na USA, mda is mrefu utaona USA, Japan and the likes kuanza kuja kununua kwetu.Yaani itakapofika 2023 hapo, tutakapokuwa tumekamilisha miradi hii inayoendela sasa, GDP itaanza kupaa kwa kasi sana na itabidi economy rebasing ifanyike haraka.
Pia Tz tunakiasi kikubwa cha Li na kutokana na mahitaji makubwa ya madini hayo duniani, vifaa vingi portable vya umeme kwa sasa vinatumia Li+ batteries, tutatengeneza pesa ndefu sana. Kwa umeme tutakao kuwa nao, tunaweza kuanza kuchima na kuchakata Li.
Tunashukuru awamu hii kwa kuweka sheria nzuri za madini. Tanzania ni Tajiri sana, aisee.
Hizo mood lights ndani ya tunnel ni kiboko....
Bwana wee wacha kabisa apana chezea.Hizo mood lights ndani ya tunnel ni kiboko....
kama uchimbwaji wa REM utaanza itakuwa poa sana.Ofcourse Lithium ni muhimu kwa sasa tunapoongelea electric cars etc, but Sio Li tu, we currently have two large scale Rare Earths mines in the pipeline, itaanza productions before end of this year. Na jinsi China ambayo ndio inamiliki over 75% ya global supply ya Rare Earths inavyopambana kiuchumi na USA, mda is mrefu utaona USA, Japan and the likes kuanza kuja kununua kwetu.
FYI, madini ya Rare Earths ndio yanatumika ktk vifaa vyote vya electronics.
Kwenye minerals...hasa .. REM, Iron, Graphite we just need processing industries in the country lets say kwa graphite kuwe na viwanda vya kuprocess na kutengeza finished materials..iron hvyo hvyo..1. REA - umeme vijijin
2. Nyerere Power Plant
3. SGR
4. Dar, Tanga, Mtwara Ports
5. Minerals
6. EACOP - bomba la mafuta kutoka Uganda
7. Viwanda
8. you can add..
vitapaisha sana uchumi wetu na kuwatimulia vumbi hawa majirani kuelekea kuwa Upper Middle Income Country
Vingine ni1. REA - umeme vijijin
2. Nyerere Power Plant
3. SGR
4. Dar, Tanga, Mtwara Ports
5. Minerals
6. EACOP - bomba la mafuta kutoka Uganda
7. Viwanda
8. you can add..
vitapaisha sana uchumi wetu na kuwatimulia vumbi hawa majirani kuelekea kuwa Upper Middle Income Country
sis tunazindua miradi ya maji, wao wanazindua magari ya kuchotea maji mtoni