Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



IMG_4253.jpg

IMG_4252.jpg

IMG_4251.jpg

IMG_4250.jpg
 
Wakuu Nimerudi Rasmi JF baada ya Kutimkia Twitter,
Watani Mkae Mkao Wa Kula Gallery Imejaa Picha So Vitu Vingi Khusu Dar Hawajui Na Mbaya Zaid Watanzania Hatuna Time Ya Kupiga Pic




*Stay Tune*
Karibu sana Mkuu tunasubiri vionjo vyako, ila kwa ss hawa Makolo wameanza kupoteza hamu na battle [emoji3][emoji3][emoji3]
 
KOT Washaanza kulialia huko online baada ya kuona Dodoma bus stand, sasa wageukia electrical SGR Tanzania! Wivu na roho ya kwanini, kiliba na vijembe vya kujifariji mwendo mmoja!












Ss mbn Wakenya wa humu huwa wanapenda kujifariji kwamba station yao ni nzr kuliko hii ya Dar, kumbe wanaitamani sn [emoji3][emoji3]
 
Tena ilikuwa na eneo kubwa sana maana Rwanda na Burundi plus sehemu ya nothern Mozambique ilikuwa sehemu ya Deutsch OstAfrika (German East Africa) kabla ya uingereza kuimeiga na kuwagawia Wabeligiji (belgium) Rwanda na Burundi, Wareno kupewa sehemu ya kusini ya mto ruvuma (todays' nothern Mozambique)baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia ambapo ujerumani ilishindwa na kunyang'anywa makoloni yake yote.
Wacha uongo border ya Mozambique na Tanzania haijawahi kubadilika leta proof ya unachoongea!
 
Back
Top Bottom