Pamoja na kuweka make up naona tiles za chooni




dah we jamaa mkorofi sanaIko wazi inawauma sana....ni hasara kubwa kuongozwa na ma Clown.KOT Washaanza kulialia huko online baada ya kuona Dodoma bus stand, sasa wageukia electrical SGR Tanzania! Wivu na roho ya kwanini, kijiba na vijembe vya kujifariji mwendo mmoja!
Daima tumeonyesha kuwa Taifa Huru kweli kweli....na sasa tunakamilisha Uhuru wa Kiuchumi.
Nimecheka leo kwenye taarifa ya habari Wakenya wameanza kumjua Mungu wanasema nchi imlilie Mungu awaokoe mana binadamu haweziKituo cha Corona kibaha kimefungwa rasmi leo mh.Ummy mwalimu,humu majirani wakiendelea kupukutishwa Corona. Kweli dua la kuku halimpati mwewe.





Magu hataki masiala kwny miradi yake, huu mradi nadhani utakuwa unaongoza kwa kutembelewa na maofisa wa serikali daily wanaenda kuchungulia


Miongoni mwa viongozi ambao huwa siwasikilizi basi ni huyo jamaa.Watendaji wengne wanazngua mara huyu kasema hiki huyu kile
Hapo bado walikata vimikoa vyetu viwili Rwanda na Burundi aiseeesifa zirudi kwa aliyeikata tz,maana ukiangalia kwa makini ilikatwa kwa mkakati kabisa as if wengine walikiwa wamelala.victoria 70%,tanganyika 50%,nyasa 35%kilimanjaro 99.9%,hindi 70% EA.
Mmhh Mbona ka unataka tuishambulie Uganda Anko???According to Ugandans they are the best in East Africa cause they have eight cities while Kenya has 3 and Tanzania is also below them.