Geza Ulole do you know anything about the Kionga Triangle south east of the Ruvuma river? Go and research at you own comfortable time. And most importantly stop calling people names without any critical evidence.Wacha uongo border ya Mozambique na Tanzania haijawahi kubadilika leta proof ya unachoongea!
kilimani + upper hill + CBD😂😂😂
Watendaji wengne wanazngua mara huyu kasema hiki huyu kile
Mkenya asipewe share kabisa...majambaziWashakubaliana abt refinery..tanzania alitaka anunue stake kwa 150$mil Kenya naye alikuwa anataka ila hii itakuja badae i think
Kilimanjaro nyang'au hana hata tone...anaioneaga kwa mbali..sifa zirudi kwa aliyeikata tz,maana ukiangalia kwa makini ilikatwa kwa mkakati kabisa as if wengine walikiwa wamelala[emoji23][emoji23][emoji23].victoria 70%,tanganyika 50%,nyasa 35%kilimanjaro 99.9%,hindi 70% EA.
Mungu tuu mwenyewe alietupa hii Nchi.wajerumani hao, walijua kutukatia pande letu la afrika
Labda wametabiri maendeleo makubwa siku za usoni.hiyo ngwese yao itaboost kimtindo.Hilo liliniacha hoi
Majiji 8
Mbarara jiji kweli!!
Jinja yenyewe kituko
Pamoja na kuweka make up naona tiles za chooni
Pamoja na kuweka make up naona tiles za chooni
Wacha kujificha Nyuma ya Uganda,tuambie Mmefika wapi na matatizo;maana kunya itafilisika mda sio mwingi.According to Ugandans they are the best in East Africa cause they have eight cities while Kenya has 3 and Tanzania is also below them.