Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tz Ni karibia mara mbili kwa ukubwa lakini mnatukaribia kwa pop sasa jiulize nani anaezaliana sana?kwa ukubwa wa nchi yenu nilitegemea iwe 30M mmezidi sana 35M
Kitu kingine ni kwamba wastani as ongezeko la watu Tz Ni kati ya watu millioni 1.5 kwa mwaka wakati GDP inapanda kwa $5B or more kwa mwaka sasa hatuwez kushuka na kingine miradi ya kimaendeleo ambayo ndio inakaribia kikamilika itaongeza revenue na ajira rasmi nyingi moja kwa moja uchumi utapanda
Do you really understand what I said? I`m talking about the population to GDP growth rate.
 
I saw them celebrating that they are the only country with many cities in East Africa. Mwingine kasema kuwa wameshapita Kenya since they have 8 cities while Kenya only have 3. How many do you have in Tanzania?
We've 6 cities but in real sense only 3 deserve which are Dar, Mwanza and Arusha.....

Kwa Mbeya, Tanga na Dodoma kuna kitu we've to do kuhakikisha ujiji unakuwepo kweli
 
We've 6 cities but in real sense only 3 deserve which are Dar, Mwanza and Arusha.....

Kwa Mbeya, Tanga na Dodoma kuna kitu we've to do kuhakikisha ujiji unakuwepo kweli
According to Ugandans they are the best in East Africa cause they have eight cities while Kenya has 3 and Tanzania is also below them.
 
JKIA terminal 1
JKIA (1).jpg
 
Back
Top Bottom