Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,745
Safi sana, japo cna haja ya kujua ni kwnn but kitendo tu cha kumkataa m south nimefurahi


Maybe Jinja but still it doesn`t deserve the status.Nje ya Kampala wana city gani ya maana
Dooh, Museven sijui anataka nin kuhusu hili city status honour....According to Ugandans they are the best in East Africa cause they have eight cities while Kenya has 3 and Tanzania is also below them.
Wapambane sana sema Museveni ameng'ang'ania madaraka sana kwann asiachie mtu mwenye upeo na nguvu zaidi asukume gurudumu...Uganda sio masikini nadhan kuna shida fulani fulani tuMaybe Jinja but still it doesn`t deserve the status.
Just relax i have a hundred of Picture in case i don't have a time to post