Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar inanyima watu usingizi
IMG_20200703_180928.jpg
IMG_20200703_180931.jpg
IMG_20200703_180924.jpg
IMG_20200703_180934.jpg
 
Naona sasa wakati umefika wa Bandari ya Mwanza kujengwa kisasa zaidi, kuwe na Berth ya abiria ambako kutakuwa na jengo la kisasa la abiria na luxury boats, kuwe na Berth maalumu ya Mizigo inayokwenda Nchi jirani na sehemu za kanda ya ziwa..yaan kiufupi ijengwe kma Bandari ya Dar-es-salaam lakini iweze ku accomodate abiria na mizigo ili tuiteke ziwa victoria yote with modernity and efficiency.
 
There is a possibility. Remember your birth rate is much higher compared to your economic growth.
Tz Ni karibia mara mbili kwa ukubwa lakini mnatukaribia kwa pop sasa jiulize nani anaezaliana sana?kwa ukubwa wa nchi yenu nilitegemea iwe 30M mmezidi sana 35M
Kitu kingine ni kwamba wastani as ongezeko la watu Tz Ni kati ya watu millioni 1.5 kwa mwaka wakati GDP inapanda kwa $5B or more kwa mwaka sasa hatuwez kushuka na kingine miradi ya kimaendeleo ambayo ndio inakaribia kikamilika itaongeza revenue na ajira rasmi nyingi moja kwa moja uchumi utapanda
 
Naona sasa wakati umefika wa Bandari ya Mwanza kujengwa kisasa zaidi, kuwe na Berth ya abiria ambako kutakuwa na jengo la kisasa la abiria na luxury boats, kuwe na Berth maalumu ya Mizigo inayokwenda Nchi jirani na sehemu za kanda ya ziwa..yaan kiufupi ijengwe kma Bandari ya Dar-es-salaam lakini iweze ku accomodate abiria na mizigo ili tuiteke ziwa victoria yote with modernity and efficiency.
Good idea..i hope itafanyika in coming 3 years ..hata dar na znz zinahitaji cruise ship terminals ...lakini naona sio priority kwa sasa
 
Tz Ni karibia mara mbili kwa ukubwa lakini mnatukaribia kwa pop sasa jiulize nani anaezaliana sana?kwa ukubwa wa nchi yenu nilitegemea iwe 30M mmezidi sana 35M
Kitu kingine ni kwamba wastani as ongezeko la watu Tz Ni kati ya watu millioni 1.5 kwa mwaka wakati GDP inapanda kwa $5B or more kwa mwaka sasa hatuwez kushuka na kingine miradi ya kimaendeleo ambayo ndio inakaribia kikamilika itaongeza revenue na ajira rasmi nyingi moja kwa moja uchumi utapanda
Kwn unadhani hajui hilo
 
sifa zirudi kwa aliyeikata tz,maana ukiangalia kwa makini ilikatwa kwa mkakati kabisa as if wengine walikiwa wamelala.victoria 70%,tanganyika 50%,nyasa 35%kilimanjaro 99.9%,hindi 70% EA.
Tena ilikuwa na eneo kubwa sana maana Rwanda na Burundi plus sehemu ya nothern Mozambique ilikuwa sehemu ya Deutsch OstAfrika (German East Africa) kabla ya uingereza kuimeiga na kuwagawia Wabeligiji (belgium) Rwanda na Burundi, Wareno kupewa sehemu ya kusini ya mto ruvuma (todays' nothern Mozambique)baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia ambapo ujerumani ilishindwa na kunyang'anywa makoloni yake yote.
 
Back
Top Bottom