Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NAIROBI KENYA LIFE STYLE

halafu wakenya hii tabia ya kujipotosha kwa kuja hapa na kuanza kusema sijui nyoko nyoko kujiita middle income country sijui ooh mnajenga ushago, ushago mmejenga nini cha maana..?..wakati maisha yenu hata mavi ni mazuri

hii nini, sasa haya ndiyo maisha yenu halisi
View attachment 1493420View attachment 1493421View attachment 1493422View attachment 1493423View attachment 1493424View attachment 1493425View attachment 1493426View attachment 1493427View attachment 1493428View attachment 1493429View attachment 1493430
Hadi huruma aisee!
 
Hawa wenzetu wanaitaji msaada,...wazee wa GDP
 
hii jiwe kasema lini na wap
Yaan Kenya nyie uchumi huo mliokuwa nao ni ule ule mliochukua kutoka kwa Mkoloni, hakuna mlichofanya zaidi kuendelea nao tena mkaupoza na spidi. Kitu kilichofanya muda wote huu mtusumbue Africa mashariki tulikosa uongozi bora.

Maana kama mngekuwa na uchumi bora isingewezekana JPM aje apindue Meza kwa miaka 5, yaan haiwezekani ina maana muna uchumi mbovu siku nyingi sema mlipata advantage kupitia uongozi mbaya tuliokuwa nao lakini sasa mumeanza kuona moto.

Yaani Miaka 5 tu, Maendeleo ya TZ yamewafyekelea mbali, je ikifika 10yrs or 15 yrs or 20yrs itakuwaje...na kwa mwendo huo wa uchumi wenu na uongozi wenu wa ovyo uliojaa Ufisadi na Ukabila yaan jiandae Uganda kuwakimbiza na mkikaa vibaya hadi Burundi.

Kama mumemsikia leo JPM anakwambia anataka kutengeneza Meli kwenda Kaliuwa ili mizigo ya Congo iende moja kwa moja Congo bila kupitia nchi nyingine na akamaliza akasema upande huo wa Congo ambako anataka kujenga Meli kuna Migodi ya Madini ya Congo na walikuwa wanakosa usafirishaji wa Meli ili yawe yanasafirishwa kuja bandari ya Dar.
 
Adjustments.jpg
 
Code:
#include <stdio.h>
main (void)
{
     int Tanzania_mic  =  1080;
   
     if ( Tanzania_mic == 1080 ) {
     printf("Usiwe na wasiwasi Simon, WB wata-declare leo\n");
    }
}
NYANGAU WATAKUNYWA SUMU, MAANA HAWAPENDI MAENDELEO YA NCHI YETU KABISA, POOOR KENYANS
 
SIJAWAHI KUONA, LAKINI HII ROHO MBAYA YAO NDIYO KABURI LAO, JUST WAIT
Yaani itakapofika 2023 hapo, tutakapokuwa tumekamilisha miradi hii inayoendela sasa, GDP itaanza kupaa kwa kasi sana na itabidi economy rebasing ifanyike haraka.

Pia Tz tunakiasi kikubwa cha Li na kutokana na mahitaji makubwa ya madini hayo duniani, vifaa vingi portable vya umeme kwa sasa vinatumia Li+ batteries, tutatengeneza pesa ndefu sana. Kwa umeme tutakao kuwa nao, tunaweza kuanza kuchima na kuchakata Li.

Tunashukuru awamu hii kwa kuweka sheria nzuri za madini. Tanzania ni Tajiri sana, aisee.
 
Back
Top Bottom