The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,529
Maamaaeee huyo ndiye Magu, Wakenya mnaona huku WaTz wanavyoabudiwa na wafanyabishara

Maamaaeee huyo ndiye Magu, Wakenya mnaona huku WaTz wanavyoabudiwa na wafanyabishara

Leo saa 2 usikuWB wanadeclare saa ngap Tanzania kuwa MIC? tukinukishe! na wanadeclare vip?![]()
Kwahiyo juu ya hilo daraja itapita road ya kuelekea mloganzila au?
na hua haina maandishi pia 😂😂😂😂kwa mujibu wa wakenya, signboard au construction-board inakaa katikat ya barabara inayotengenezwa na si pemben au mwanzo na mwisho wa barabara inayotengenezwa..🤦🏽♂️
View attachment 1494068
Zote zina specs sawa?kampuni zilileta tenders za kusupply trains za electric multiple units na ambazo serikali ilipendezwa nazo zilikuwa ni Bombardier ya Canada for TALENT 3 trains na Stadler Rail ya Uswiss for Stadler Euro Dual trains, mpka sasa haijajulikana ni ipi imeshinda tender... (hizi ni habari za chini chini nilizosikia)
i hope walishinda Bombardier

Yeah boss ..kwa upande wa kulia na kushoto pia hio overpass italink hizo ...barabara za kulia na kushotoKwahiyo juu ya hilo daraja itapita road ya kuelekea mloganzila au?
kampuni zilileta tenders za kusupply trains za electric multiple units na ambazo serikali ilipendezwa nazo zilikuwa ni Bombardier ya Canada for TALENT 3 trains na Stadler Rail ya Uswiss for Stadler Euro Dual trains, mpka sasa haijajulikana ni ipi imeshinda tender... (hizi ni habari za chini chini nilizosikia)
i hope walishinda Bombardier
Include Function (inaonyesha kiwango cha wakenya kukasirika kadiri tz inavyopiga hatua za maendeleo endelevu) 😀 😀 😀Header
Main()
Variable declaration
Body
Return
![]()
specs zinaeza kua sawa ila vionjo na ladha zikawa tofautZote zina specs sawa?
Stadler si kampuni ndogo kwenye electrical mobility! si mbaya! ina jina kubwa hapa Europe na wao ndo wameshughulika na Umeme SGR yetu!specs zinaeza kua sawa ila vionjo na ladha zikawa tofaut