Tutaingia 2025 usiwe na shakasafituzae buti ili higher-middle income tuingie sisi kwanza kbla ya kenya
So you mean that Kiberans and the likes will now afford to rent those hostels? 😃 😃Hizi ndio sababu nasema matajiri huko kwenu huishi kariokoo...haya majengo yanajengwa sababu ya wananchi wa mapato ya chini.so usione hayo makaazi ukadhani yanajengewa matajiri
Shhh..Na
NNaauuttoutau
Niliwaambia wakenya huu mwaka huu lazima wao na mabeberu watii ,,wakawa wananudhihaki sasa watazidi kunichukia naona hadi komora096 kanywea si mchezo huu mwaka hadi uishe lazima mabeberu na wakenya wasisome nambaHaiwezi tokea, afu kuna kitu watu wengi hawajajua, Magufuli ni tozi hapendi vitu low quality, yn ukimuangalia personality yake unaweza sema ni wale watu wasiopenda ubishoo lkn ni tofauti kabisa na alivyo ukisikia anajenga kitu ujue ni imara na chenye muonekano mzuri yn Magu tozi![]()
Sisi tupo hapa kitambo tunapambana mm hadi naona kupambana na Kenya ni kuwaonea maana Tanzania ilikuwa MIC kabla hata ya magufuli tulisha fika $1080 sasa baada ya magufuli tupo $1800 hivi hadi mwaka 2023 tutakuwa $2200 japo kama kawaida mabeberu wataficha kama walivyo Fanya sasa ,were tumia akili kidogo nchi kama Ghana na Cameroon zinaweza kuizidi tz kiuchumi !!!??? No way hata siku moja mijiyao ni midogo na masikini sana ,tazama majiji yao youtube bila kusahau nchi ya zambiaKwakweli Annael alikuwa na moyo wa kishujaa sn cz by the time anapambana na hawa wajinga mambo mengi yalikuwa bado, nilikuwa nachungulia naona annael anapambana mpk na baadhi ya WaTz wakiamini kuwa Nairobi iko mbele ya Dar kitu ambacho hata mm kimoyomoyo nilikuwa nakubaliana nao ila roho ilikuwa inaniuma sn, bt nguvu zikanijia cku ambayo Magu anaenda kuweka jiwe la msingi ujenzi wa sgr hapo nkasema hawa wajinga hawaniambii kitu now![]()
Kitu kilicho saidia wakati tunaanza huu Uzi ni kuwa wakenya wali tu under estimate sana hivyo tulikuwa tuna wapa mapigo wasiyo yajuaKwakweli Annael alikuwa na moyo wa kishujaa sn cz by the time anapambana na hawa wajinga mambo mengi yalikuwa bado, nilikuwa nachungulia naona annael anapambana mpk na baadhi ya WaTz wakiamini kuwa Nairobi iko mbele ya Dar kitu ambacho hata mm kimoyomoyo nilikuwa nakubaliana nao ila roho ilikuwa inaniuma sn, bt nguvu zikanijia cku ambayo Magu anaenda kuweka jiwe la msingi ujenzi wa sgr hapo nkasema hawa wajinga hawaniambii kitu now![]()
True not like fake one kunya land ,middle finger countryThe real middle income country in East Africa.
Wakenya wameshangaa mambo mengi kuhusu tz kati ya hayo niHalafu kinachowauma zaidi kwenye issue ya corona tumewapiga finger la kati
Ni lazima tujitoe kwa moyo na kwa Nguvu zote...Hii ndio zawadi pekee kwa Rais wetu Mpenzi Ndugu yetu JPM.Watanzania wenzangu ALuta Continua, tuendelee kuujenga uchumi wa Tanzania...Tuwaache Wakenya waendelee kujenga uchumi wa Corona![]()
safihehe Tanzania hakuna kulala!
#Mtwara-Mbamba Bay Railway: President #Chakwera's Challenge - Railway Business
Hii haifichiki,Tumebarikiwa kuliko taifa lolote Africa. Mungu Ibariki Tanzania,na Rais Wetu JPM.Leo ni siku ambayo nna furaha sn cz ktk vitu ambavyo vilikuwa vinaniuma ni mm The best 007 kuishi ldc yn inakuwaje mjanja km mm niishi ldc?, ndiyo kuna reli ya umeme kuna madaraja ya kila aina kuna umeme wa kutosha kuna maji ya kutosha kuna amani kuna majengo mazuri hakuna slums hakuna ufisadi wa kutisha km kwa wenzetu but ni ldc, yn ktk bakora ambazo Wakenya walikuwa wanafaulu kunitandika basi ni hyo kashfa ya ldc, nilikuwa siamini kabisa km nchi hii ni maskini yn siamini na sitokuja kuamini kamwe, lkn leo chini ya uongozi wa mkuluwole the most African visionary leader a.k.a the magician Dr. John Pombe Joseph Magufuli aibu hii imefutika rasmi na nishaizika ktk kaburi la sahau.
Acha kunyamba shonde,,unasema nini?Nani kakudanganya kua kariokoo ndio market kubwa in the region?. Do u know Eastleigh Nairobi?.... Eastleigh pekee ina mall nyingi kuliko Tz nzima
Niliwai kumwambia mtu.Haiwezi tokea, afu kuna kitu watu wengi hawajajua, Magufuli ni tozi hapendi vitu low quality, yn ukimuangalia personality yake unaweza sema ni wale watu wasiopenda ubishoo lkn ni tofauti kabisa na alivyo ukisikia anajenga kitu ujue ni imara na chenye muonekano mzuri yn Magu tozi![]()
6.Usimamizi dhabiti wa Rasilimali.1. REA - umeme vijijin
2. Nyerere Power Plant
3. SGR
4. Dar, Tanga, Mtwara Ports
5. Minerals
6. EACOP - bomba la mafuta kutoka Uganda
7. Viwanda
8. you can add..
vitapaisha sana uchumi wetu na kuwatimulia vumbi hawa majirani kuelekea kuwa Upper Middle Income Country