Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yule mkenya hatimaye amechange ile Avatar yake ya ldc ss ameweka nyingine, amenifurahisha sn pia ameonesha heshima kwa Tz, hakika ilisemwa lazima watii na wameanza kutii

Mpe hii aweke.
Cholera.png
 
jamani nikiwa kama mwenyekiti wa thread hii naombeni ndugu zangu bakora munazotandika kwa sasa musitishe kwani mumehatarisha thread hii, mpaka sasa kuna ndugu zetu hawana amani kabisa so please stop na atakaendelea ntamchukulia hatua za kinidhamu kama mwenyekiti

chairman
ichoboy
 
Back
Top Bottom