Heheheheheeee mtawauwa kwa presha mwaka huu.
Kitu imetulia balaaa...
....At same time not even to mention any other non-perishable goods from the country. I think our internal cargo market is sizable enough to be a stepping stone for our young airline to venture into regional&continental cargo industry.....Mtafanya watu wakajiue jamannchi ambazo zitabadilishwa economic status zake.. Tanzania is now officially a Middle Income Country
View attachment 1492986






Mkuu,mbona tumeishaingia MIC!,yaani ni kama vile timu imeshinda uwanjani,inasubiri kukabidhiwa kombe.Mkuu ngoja kwanza tuingie Middle Income kwa kishindo then Wakenya wote watakuwa washajua kwamba Tz ni baba lao ukanda huu.
Yani mpkaaa raha dadeki....kenge moja wa kikenya amesha fungulia uzi....nchi ambazo zitabadilishwa economic status zake.. Tanzania is now officially a Middle Income Country
View attachment 1492986







Noma na nusu
Mtafanya watu wakajiue jaman
Kabla la no of millionaires halijapoa,mmekuja na hili![]()




Mombasa ina milionea wengi kuliko Tanzania Nzima.Wakuu sijui kuna mtu anajua mipango imefikia ya ili Soko la kisutu?View attachment 1493008View attachment 1493007View attachment 1493009
Asante mkuu.Lipo vizuri, litakua Topped Out , Tukipita tutafanya mambo ya Taswira.
nchi ambazo zitabadilishwa economic status zake.. Tanzania is now officially a Middle Income Country
View attachment 1492986









Ila hawa Mauritius au ni kwasabu ya udogo wa nchi?nchi ambazo zitabadilishwa economic status zake.. Tanzania is now officially a Middle Income Country
View attachment 1492986