Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How green and beautiful!
Screenshot_20200612-132447~2.png
Screenshot_20200621-190308~2.png
Screenshot_20200621-191307~2.png
Screenshot_20200621-191140~2.png
Screenshot_20200621-191053~2.png
Screenshot_20200621-190135~2.png
Screenshot_20200621-185839~2.png
Screenshot_20200612-011809~2.png
Screenshot_20200612-011536~2.png
 
Attachments

  • Screenshot_20200621-190135~2.png
    Screenshot_20200621-190135~2.png
    529.8 KB · Views: 5
s

good but mtindo wa kujenga single lane na surface dressing umepitwa na wakati na ni outdated..barabara za mijini ziwe dual carriage na ubora uhamie asphalt
Pili kwa ukubwa wa mtandao wa barabara Tzn hiyo idadi ni ndogo saaana na kasi ni kiduchu mno
Kwa sasa wanajenga zaidi asphalt ,pili hata mijini single lanes zinahitajika though major roads zote zafaa ziwe dualcarriage na nyingi ndio ziko hivyo ...speed ni ndogo kutokana na uwezo ukizingatia tunajenga reli ya sgr, bwawa kubwa la umeme pamoja na miradi mingine hela zote zinatoka kapu moja!!

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Huwa nawaambia katika sekta ya barabara Magu kachemsha maana 5yrs only 3500km manake na miaka mingine 5 ijayo hazitazii 3500km zikiwamo hizo 2000km under construction..Sijui msemaji anajisifu nini,si ajabu miaka 5 imepita bado kanda ya magharibi inastruggle kwa kutokuwa na uhakika wa usafiri
 
kuna report wanasema kuna mvua kubwa ‘above normal rain’ itanyesha kuanzia mwezi huu mpka Sept huko Ethiopia .. hizi mvua hazitakuwepo huku bongo? zinaweza kuslow down ujenzi wa SGR phase II
IMG_1592890748.582129.jpg
 
Huwa nawaambia katika sekta ya barabara Magu kachemsha maana 5yrs only 3500km manake na miaka mingine 5 ijayo hazitazii 3500km zikiwamo hizo 2000km under construction..Sijui msemaji anajisifu nini,si ajabu miaka 5 imepita bado kanda ya magharibi inastruggle kwa kutokuwa na uhakika wa usafiri

kwan hizo 2000km under construction hela zake zipo kwa budget ya miaka ipi? si hiohio ya within his first 5yrs phase??!! mbona unatumia MATAKO kufikiria badala ya ubongo!!
 
kwan hizo 2000km under construction hela zake zipo kwa budget ya miaka ipi? si hiohio ya within his first 5yrs phase??!! mbona unatumia MATAKO kufikiria badala ya ubongo!!
Wazee wa faru john utawaona tuu sijui anafikiria kwa kutumia nn??
 
s

good but mtindo wa kujenga single lane na surface dressing umepitwa na wakati na ni outdated..barabara za mijini ziwe dual carriage na ubora uhamie asphalt
Pili kwa ukubwa wa mtandao wa barabara Tzn hiyo idadi ni ndogo saaana na kasi ni kiduchu mno
Mkuu unatakiwa uelewe mambo mengi Yanahitajika sio barabara tu, kuna viwanja vya ndege pamoja na ununuzi wa ndege, kuna maji, umeme, huduma za afya, ujenzi wa reli, meli, vivuko, elimu nk. Kujenga km 3500 kwa miaka 5 si jambo la kupuuza.
 
Hii barabara inamaliza mzunguko wa kutokea Sumbawanga uende hadi dodoma ndio uunge kwenda mwanza...bonge la project ilo..pia itafupisha sana wanaotoka Tabora kwenda kigoma au kwenda Sumbawanga
Hiyo bado ni mzunguko mrefu sana kutokea Sumbawanga na Mpanda kufika Tabora na kuendelea
Barabara fupi kufikia Tabora kutoka mpanda ni kupitia ugala hadi Kaliua,na kutokea Sumbawanga ni kupitia majimoto na bonde la ziwa Rukwa,hizi ndio tunataka zijengwe but kwa kuanzia sio mbaya
 
God is not an idiot. Dont mention Him in your shenanigans. God is not wicked like men neither does He do evil you fool. Stick to the debate and your empty rhetorics., you must belong to a religion, coz religion does not know God you idiot.
Kenya pekee inawatesa hivi, you must be so desperate kuipiku, unfortunately it will not happen in your lifetime here on earth. Take it to the bank.
Hahahahahah umekasirika tayar, kwn nyie mna mjua Mungu nyie? Si mlikuwa mnatucheka wakati ule wa covid-19 tulipoanza kumtanguliza Mungu mbele mkawa mnatukashifu au co nyie? Leo mnajifanya mnamjua Mungu kuliko sisi tunaomwamini
 
Back
Top Bottom