Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe huu ndio ujinga wanaofundishwa shuleni!

Ndio maana wana akili fupi,



Point of correction: Tz ndio ina billionaire na milionea wengi ukanda huu.



nimechelewa kuiona hii.. ila hii comment imeniuma..
ni kweli bana wanadanganywa.. ndo mana mpk leo wakenya wengi wanadhan wao ni bora au wametuzidi kila kitu kuliko sisi. Good thing is Magu kawajua hawa jamaa na anawata hawaprove wrong wenye mawazo kama haya
 
Yaani JPM mpatie hiyo fedha halafu atafute kwingine kama $200 mln za madaraja haki ya Mungu inafika Dodoma! Tena contractor kampuni ya Kitanzania Estim na consultant TANROAD!
JPM mwamba hawezi ku tolerate upuuzi km huo, yn kwao ni fahari kuitwa road expensive duniani wkt kuna roads zipo ulaya na kwngneko kali mno na approximation ya price inagoma kwny $1mil per km, this is bullshit, nmeona kuna mkenya amesifu bila hata ya ku doubt, very lazy people.
 
Yaani hawa jamaa tunawakaba Pumbu bila kustuka ngoja waendelee na hizo ngonjera zao

Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
Usiwacheke sana ile territory ya Somalia ina mafuta kwa hiyo ngoja wakatamie mayai kwa miaka miwili UNSC Kwa kadi ya turufu ku-veto usikilizwaji wa kesi yao ICC! Ila Somalia itazaa nao pretty soon! Msomali (Wajukuu wa Maahdi ) hawaibiwi !
 
Screenshot_2020-06-21 Dar es salaam city, Main Market and Tanzania SGR project progress(1).png
 
Kuna mwenzako mmoja mpumbavu,baada ya kusikia tz ina $millionaires wengu kuliko KE,akasema top 10 wote ni wahindi.

Nikajiuliza hoja yake ni rangi zao au lugha wanazozungimza jibu sikupata pia.

MO kama walivyo wengine ni mtz mwenye asili ya india,aliyezaliwa singida na kukulia hapo.baba yake pia alizaliwa hapo singida.nashangaa jambo linakuwa jema linapofanywa na kenya,ila nchi nyingine hata inhefanya lwa ustadi namna gano ingeonekana haifanyi sawa.
Huko kwao si wanaubirigi tuu Ukabila...wakati huku kwetu tunaongelea Utanzania....na Ndo maana hata yule Joseph Mungai,wazazi wake walikimbia njaa huko Kunyaland lkn kwa kuwa Mungai alizaliwa hapa hatukusita hata kuwapa Uongozi....Tanzania tuko mbali saana.
 
Indeed, mko mbali aise Nime tii.
Huko kwao si wanaubirigi tuu Ukabila...wakati huku kwetu tunaongelea Utanzania....na Ndo maana hata yule Joseph Mungai,wazazi wake walikimbia njaa huko Kunyaland lkn kwa kuwa Mungai alizaliwa hapa hatukusita hata kuwapa Uongozi....Tanzania tuko mbali saana.
 
Kuanzia Uhuru Kenyatta na serikali yake yote, na hata huyo Odinga anaejinasibu ni rafiki mkubwa wa Magu.. pamoja na wakenya wote wanamuogopa sana huyu jamaa
View attachment 1485508
Hii ni nyota ya Africa..ni kipenzi cha wengi...Uwezi mlinganisha na kina Uhunye.....huyu ni level za kina Sankara,Maurice Bishop,Fidel,Gadafil,etc..
 
Back
Top Bottom