joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hao vibaraka waliojitenga na kujenga uchumi wao na kuwapuuza waafrika waliokua wanaomba msaada wako wapi sasa, wamepata nini cha ziada?, si ndio wao kila siku wanawalamba miguu South Afrika ili wwawaondolee visa?. Kila siku wao wanajikomba kwa Afrika ili wafanye biashara na hizo nchi walizozisaliti?.Hapana.
Liberation of Southern Africa ndio limetichelewesha sana.
