Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

inajieleza👇👇👇
BC04BFA3-1D47-4B73-93F0-8F3AA0185C7E.jpeg
36E29A05-A7FB-4F23-BAB3-F0C75D252E86.jpeg
EA3CE095-92C8-4163-8507-16069DCA3DF3.jpeg
C1ABB02E-FF5B-4742-9D20-E8E31A4A6806.jpeg
 
Onyesha ni wapi ubepari ulifanikiwa nje ya Europe na Amerika ya kaskazini ambazo uchumi wao ulijengwa kwa misingi ya kikoloni kwa kuhamisha Mali na watumwa toka nchi zilizotawaliwa?.

Kwa kifupi ubepari umesababisha mataifa mengi ya dunia ya tatu kuingia katika migogoro mingi itokanayo na tofauti kubwa ya vipato miongoni mwao. Ujamaa misingi yake mikubwa ni utu na kupunguza matabaka miongoni mwa jamii, jambo ambalo Tanzania imefanikiwa sana na dunia inajua hivyo.

Ujamaa umetusaidia sana kupunguza " Scramble for resources " hivyo kila mtu au kabila kutojiona ametengwa katika keki ya Taifa, jambo ambalo limesaidia kuondoa ukabila la kujenga umoja wa kitaifa. Taja nchi yoyote ya dunia ya Tatu(Africa), iliyofuata Sera za kibepari na ikafanikiwa kupata maendeleo ya wananchi waliowengi.
Nchi za dunia ya tatu mpk ss hakuna iliyoendelea na ndiyo maana zinaitwa hivyo, ss twende kwa nchi zilizoendelea naomba untajie nchi yoyote iliyoendelea duniani na bado ipo kwenye siasa za kijamaa
 
Nchi za dunia ya tatu mpk ss hakuna iliyoendelea na ndiyo maana zinaitwa hivyo, ss twende kwa nchi zilizoendelea naomba untajie nchi yoyote iliyoendelea duniani na bado ipo kwenye siasa za kijamaa
Ukitaka kujua kwamba kujua kwamba dawa inafanya kazi, lazima uijaribu kwa mgonjwa, akipona ndio utajua hiyo dawa inafanya kazi.

Third word countries" ni nchi masikini(wagonjwa), tulitegemea ubepari(dawa) ndio ingesaisia kuponyesha huu umasikini katika hizi nchi za dunia ya Tatu. Huwezi kusema hizo nchi hazikupona kwasababu ni wagonjwa.

Nimekuuliza, ni nchi gani nje ya Europe na Amerika ya kaskazini ambayo wananchi/ nchi iliweza kunyenyua maisha ya waliowengi kwa kutumia ubepari?
 
China ilikuwa ni nchi ya kijamaa but nowadays it's no longer a communist state, ujamaa ulisaidia kwa wakati wake lkn kwa sasa haiwezekani ku exist, ni ngumu sana, kwa kipindi kile ulifaa hasa ktk kujenga misingi ya utu, lkn kwa sasa haiwezekani mkuu tukubali tukatae, hata hapa Tanzania umeshaanza kututoka japo ile misingi bado tunayo but ule ujamaa umeondoka miongoni mwetu, ukitaka kuamini angalia hata kwa ngazi ya familia, unakuta chao chao chetu chetu iko hvyo, alafu mkuu ubepari kwa Afrika unafeli kwasababu ya ulafi wa viongozi wetu, lkn ukimpata kiongozi dizain ya Magu hamuwezi shindwa, btw even our president amejipambanua kwmb yy ni bepari.
 
Back
Top Bottom