Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa viongozi wa hizi nchi wana laana. Hivi kweli waliookuwa wanasaini hizo deal hawakusutwa rohoni?
Na kuonesha kuwa Mungu yupo huwa hawaachi salama wapuuzi km hawa, unakuta nchi haiishi mabalaa, huku locust kule cholera mara covid-19 haiishi, yote hyo ni kwasabu ya laana ya kuwadhulumu wanyonge, majority wanaishi maisha ya nguruwe pale Kibera huku wachache wanaingia mikataba ya kishetani.
 
Your President is brainless. Do you know that?

hiki ndo wachina walitaka kufanya kwenye mradi wa bagamoyo port.. imagine unapita kwenye hio barabara then wachina wanakula hela yako
IMG_1592857516.086950.jpg

pia kumbuka kwenye mkataba wa kuendesha SGR.. ase mtapigwa hela nyingi sana..
 
Duh! Unajua kama Albino ni binadamu kama wewe? Hata wewe unaweza kupata mtoto albino, hivi unaweza kuleta utani kama huo kweli
? Wewe ni binadamu kweli?
Mpaka uko wapi, man?
Huyo ni mshenzi sema tunaenda nae kishenzi shenzi hvyo hvyo
 
Hii barabara nimeipenda sana. Imeaccommodate brt, lanes za magari mengine, lane ya cyclists na walkway kubwa ya pedestrians. Kiufupi Hili Eneo limefuata modern urban planning concepts. Kinachohitajika ni upandaji wa Miti pembeni tu.
D2A51B4E-EE40-480C-80AD-638801494D9A.jpeg
85D2C5CB-1C4E-4F63-8D5B-6086828748B3.jpeg
 
God is not an idiot. Dont mention Him in your shenanigans. God is not wicked like men neither does He do evil you fool. Stick to the debate and your empty rhetorics., you must belong to a religion, coz religion does not know God you idiot.
Kenya pekee inawatesa hivi, you must be so desperate kuipiku, unfortunately it will not happen in your lifetime here on earth. Take it to the bank.
Na kuonesha kuwa Mungu yupo huwa hawaachi salama wapuuzi km hawa, unakuta nchi haiishi mabalaa, huku locust kule cholera mara covid-19 haiishi, yote hyo ni kwasabu ya laana ya kuwadhulumu wanyonge, majority wanaishi maisha ya nguruwe pale Kibera huku wachache wanaingia mikataba ya kishetani.
 
Kwenye hii forum wabongolala ni 98% kwa idadi lakini 4% ndio wanauwezo wa kutambua mambo bila kuhangaika
Wacha maneno chafu, Kuna mambo mengine hua mnatoka kwenye lane kabisa,Nmeshangaa Wanjala na ujanja wake wote anashindwa kutofautisha sidewalk na city garden...
Kingine Huwez fananisha Sandton which is the richest square mile with any other place in Nairobi why you don't want to admitt that?
Mambo mengi pia mmekua mkitumia tako ubongo mmelalia so even you guys mnafail sana kwenye hii battle big time

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom