Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Unamwamini usie mjua., wewe ni mdini tu. Hakuna cha Mungu hapa.Hahahahahah umekasirika tayar, kwn nyie mna mjua Mungu nyie? Si mlikuwa mnatucheka wakati ule wa covid-19 tulipoanza kumtanguliza Mungu mbele mkawa mnatukashifu au co nyie? Leo mnajifanya mnamjua Mungu kuliko sisi tunaomwamini [emoji3][emoji3]