spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,226
Nayopia inajengwa.Iyo nayo siwanajenga au bado
Zikiisha mtu anatoka Kampala anashuka hadi Nyakanaz chini kwa chini hadi mpanda hadi Mbeya huko
Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
Nayopia inajengwa.Iyo nayo siwanajenga au bado
Reli 2022..thts over estimation 2020 December 2021 Jan kitu tarayTuseme hii reli itaisha 2022. Naamini huenda ikawa nzuri hasa kama kweli watanunua treni kama walivyo pendekeza TRC.
Lakini Jiji hilo la Dar??
Pia hiyo main station huenda iwe ndogo sana.
Hizo ni picha za USA siyo Tanzania banaHapo sasa. Ndinda jamaa mkomavu sana.![]()
Hivi Si Kuna Kigoma ..To Bukoba inajengwa...na Plus Tabora Kigoma..kama una outline ya hizi road project za western circuit naiombaYa kwenda Mwanza sio hii.
Ya Mwanza inapitia Kasulu-Kibondo-Nyakanazi(Junction ya kwenda Rwanda/Burundi) ambapo ndipo itaungana na lami hapo
Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
Itajengwa nyingine baadae lakini ni nje ya huu mkataba itakuwa nje kidogo ya mjiTuseme hii reli itaisha 2022. Naamini huenda ikawa nzuri hasa kama kweli watanunua treni kama walivyo pendekeza TRC.
Lakini Jiji hilo la Dar??
Pia hiyo main station huenda iwe ndogo sana.
Maendeleo hayana chama 😀 May 2020 Dar-Moro.


Tatizo una post bila ya dondoo ya maneno kama my take kidogo hivyo watu tunaona hata uvivu kutazama
Yeah thts a good plan he should really push ..na ndo kitu itachofanya hizi bank zikuwe zaid..In past 3years CRDB and NMB hv bn in profit..last year NMB 142bil tsh..thts enough for Expansion to these countries DrCongo ,Zambia ,Malawi so they can rake more profit if they are well runnedGoT ina at least 30 percent in CRDB and NMB Banks aside the Tanzanian public's stake! It is hightime JPM should push these two banks to venture to Uganda, DRC and Zambia! ATCL is to fly to Congo DRC after the 2 A220-200 arrive! These two banks should use that opportunity to expand!
Roughly inaweza chukua 6 months hilo eneo kuwa vizuri..so by December nahakika train zinatembea kote hapo Mungu akipendahii video ilivyo ndefu na nzuri pamoja na mziki mzuri (beats) unawezajikuta umesinzia na kulala kabsa
Dar-Pugu na Ruvu pamoja na lile eneo lenye makokoto 150-175 km bado challenge ni kubwa
Tuseme hii reli itaisha 2022. Naamini huenda ikawa nzuri hasa kama kweli watanunua treni kama walivyo pendekeza TRC.
Lakini Jiji hilo la Dar??
Pia hiyo main station huenda iwe ndogo sana.
Roughly inaweza chukua 6 months hilo eneo kuwa vizuri..so by December nahakika train zinatembea kote hapo Mungu akipenda
Like an ellien spece shipimagine upo kweny ndege angani then unakutana na view kama hii.. na pemben kidogo kuna bahari![]()
View attachment 1486147View attachment 1486148View attachment 1486149View attachment 1486150View attachment 1486151View attachment 1486152
the station looks something like a very massive object fallen from international space above



Hapo kuna reserve ya pembeni na katikati ya barabara,ya katikati kwa ajili ya brt,ya pembeni mambo ya 8 lanes nyerere aliuandaa huo mji kwa vizazi visije kupata ugumu ku upgrade pindi muda utakapofika angalia morogoro road ilipofikia inahitajika brt watu wala awakuumiza kichwa,kama kilwa road nowNiliwaambia Dar City is a Walkable City.
Imagine Lane yote hii kwa ajili ya waenda kwa miguu.
View attachment 1486108
Nairobi imepigwa pictures imeisha yoteNiliwaambia Dar City is a Walkable City.
Imagine Lane yote hii kwa ajili ya waenda kwa miguu.
View attachment 1486108
True. It's too obvious.Eager to oppose, or lack of bundles. But if Tanzanians can watch this video all to the end, they will never compare Dar to Nairobi
Yeah thts a good plan he should really push ..na ndo kitu itachofanya hizi bank zikuwe zaid..In past 3years CRDB and NMB hv bn in profit..last year NMB 142bil tsh..thts enough for Expansion to these countries DrCongo ,Zambia ,Malawi so they can rake more profit if they are well runned
About ATC i see more to come ...tukiwa na dreamliner hizo 2 mpya plus a220 2 mpya..najua price za AtC ni nzuri..tukiweza kuwa na good connection flights times basi KQ ataonja moto mkubwa ..KQ wataita maji ..mma ..
Eager to oppose, or lack of bundles. But if Tanzanians can watch this video all to the end, they will never compare Dar to Nairobi
kama Mkuu Wanjala alivyosema Msipoteze Bundle lenu , hamna kitu cha kutisha humo, Wanafanya tuliyofanya Sokoine Drive, Uhuru Road siku nyingi . Ukiacha barabara zote Za BRT over 20km ambazo Both sides ni Cyclists and Pedestrian Friendly.



Nairobi imepigwa pictures imeisha yote
Dar ndio kwaaanza hata nusu hatujafika, ndio maana hivi vitasa unavyowagonga navyo saivi hawaamini macho yao kama hii ni Dar.
.