Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I didn't ask about elective positions, kuna appointments; kama mawaziri, n.k., how many appointments are from other parties?., ama Tz ni technicaly a one party regime.
Kama unajua Presidential system, usingeuliza jinsi ya mawaziri wanavyochaguliwa, waziri lazima awe ni member of Parliament, sasa utachaguaje waziri MP toka chama tofauti. Jaribu kuelewa tofauti za hii mifumo miwili kwanza.
 
Majority rules?, kwahiyo ninyi kura zenu hupigwa kwa misingi ya ukabila?, kila mtu huchagua kabila lake?. Ndio sababu tunasema hata uwe na uwezo na "Qualifications zote" lakini kama sio mkikuyu, Jaluo au Kalenjin hauwezi kuwa rais Kenya.

Kama nchi zingekua zinachagua kwa kutumia ukubwa wa makabila.

1)South Afrika wasingemchagua Mandela
2)Tanzania tusingempata Nyerere
3)Obama asingechaguliwa huko USA

Ninyi ni wabaguzi na wakabila sana.

Kuhusu kuwachukulia hatua wauaji, eleza nani hadi Leo amekamatwa kufuatia mauaji ya zaidi ya wakenya 2000 wa PEV 2007. Nani alikamatwa hadi Leo kufuatia kifo cha Chris Msando na Jacob Juma?

Huu ndio Uhuru wa kujieleza? Wawili taabani baada ya kuchapisha video ya Rais Uhuru, Raila wakitembea usiku
Discussion was on Kenyan political landscape, not comparative politics, kama unajua political science unaelewa maana ya comparative politics, so have given out politics in the Kenyan scenario, it has its positives and negatives, sikatai. Tanzanian politics ni tofauti sana, can't be mentioned on the same sentence na United States, it is dictatorial with some appearance of benevolence, though not quite kama Rwanda which is benevolent dictatorship, Tz ccm regime thrives on propaganda and cannot tolerate divergent opinion, taken advantage of Tz's unity to hoodwink you and fight off opposition calling them sell outs. Uganda too has a different political landscape, it is more of military government, though Museveni comes from a small tribe in western Uganda, the Banyankole, he rules through threats and instilling fear on his subjects, in politics the Baganda and Basoga are two biggest tribes, yet the main opposition leader still comes from the Nyankole tribe (Kizza Besigye), it is recently that a guy from Buganda, Boby Wine, (Robert Kyagulanyi) has thrown his weight into politics, am waiting to see how it will pun out, though I doubt kama ako na chance. Ugandans too, like Tanzanians are not quite tribal, but they pride in their kingdoms more than national politics. Otherwise baganda would be calling the shots as they are the most economically endowed, and are the residents of Kampala (with a stable Kingdom) and its surroundings.

Wachana na Kenya, we will sort ourselves. We are beyond being controlled unnecessarily.
 
Kama unajua Presidential system, usingeuliza jinsi ya mawaziri wanavyochaguliwa, waziri lazima awe ni member of Parliament, sasa utachaguaje waziri MP toka chama tofauti. Jaribu kuelewa tofauti za hii mifumo miwili kwanza.
Ungefafanua vile ilivyo Tanzania, now I understand vile mawaziri wenyu are appointed. Kenya with new constitution waziri sio mp. Now as member of parliament, lazima awe wa chama tawala?
 
KANU si ya kikabila, soma historia ya KANU, maybe kwa sababu president alitoka kwa wakalenjin, but ilianzishwa wakati wa Kenyatta (mkikuyu), NARC (National Rainbow coalition/ndio Rainbow) ilikua muungano wa vyama vingi kutoka upande wote wa Kenya, walimuondoa Moi kwa kumshinda Uhuru Kenyatta wakati aligombea urais kwa tikiti ya chama cha KANU dhidi ya mkikuyu mwenzake Mwai Kibaki., PNU was Kibaki's party, ODM ina umaarufu Nyanza, Western na pwani, Ali Hassan Joho, governor wa Mombasa ni wa ODM ila si mjaluo., Jubilee wengi wao ni Kikuyu na Kalenjin because of population but wako na wajumbe kutoka eneo mbali mbali za Kenya.,
Elewa Kenyan politics, ukitaka kua rais lazima utafute kura from tribes with big population, so the parties that are supported by people from a big population wewe uta conclude eti hizo chama ni za watu wa hiyo lugha, of which is not necessarily true. Kuna watu wanasimama as independent candidates for political position in jubilee and ODM strongholds (yaani mahali pa wafwasi wengi wa hizi chama) na bado wanapita.
Elewa Kenyan politics, ukitaka kua rais lazima utafute kura from tribes with big population, so the parties that are supported by people from a big population

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
[emoji3][emoji3][emoji23]kauli yako tu uliyo iropoka hapo juu ishamaliza kila kitu yaani unazunguka zunguka kama feni mbovu wakati hitimisho ya hoja ni hapo,, ungeishia tu hapo hapo.....mzee wa tribe yenye population kubwa....
dhahiri ulivyo nena waonekana hata wewe ni mbaguzi tu na una kasumba ya ukabila imekutawala
 
Huyo findi ni hatari, nimekua nikimuangalia kwa muda sasa, hata akikaa suruali hazina mikunjo kunjo. Na akisimama kila kitu kinanyooka. Hata suti alizohongwa Rais kikwete na beberu hazioni ndani.
anakaa kama Sheria Ngowi Brand designs!
 
Wacha kuzungumza maneno mengi, kwa ufupi ni kwamba siasa za Kenya ni siasa za Ukabila, hakuna "Any political system" inayofanya kazi hapo Kenya zaidi ya Ukabila.

Tanzania ni kama South Africa ambako chama kimoja kilichoikomboa nchi bado kina nguvu sana kama ilivyokua KANU. Tatizo la KANU kupoteza ushawishi ni historia ya watawala wake kujilimbikizia Mali na kuwagawa watu katika misingi ya ukabila, vinginevyo kama kingeongoza vizuri hadi Leo kingebaki madarakani.

Tanzania siasa yetu inatawaliwa na vyama vya siasa, kwa sasa ni CCM, uwezi jua miaka ijayo CCM ikivurunda tunaweza kupata chama kingine cha siasa.

Kenya ni tofauti, ninyi kwenu ni ukabila, haijalishi ni chama gani cha siasa, muhimu kwenu ni hicho chama ni chama kilichoundwa na kabila lipi, kama sio Kikuyu, Jaluo, Luhya au Kalenjin, sahahu kupata Urais.
 
As at now hii[emoji121][emoji121]to some extend ni kweli., bali chama cha siasa hakiundwi na kabila per'se but inaweza pata support kutoka kwa kabila flani kupitia kwa kiongozi anavyo shawishi watu wake.,

Tanzania hakuna ukabila

Nitajie Kabila gani limetawala ktk ngazi ya Urais au hata Makamu wa Urais kujirudia

Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
 
Kwa train ya public transport tulichemsha, bora ifanye kazi. Ya freight iko sawa, can handle double stark.

Kenya has the most amazing train Station in Africa
Bonai
Jun 15, 2020 8:37 PM
0aadb53afea6c8f9b5718304e531fc87

Opera News Kenya
Only for Opera News funs.
Follow
The Mombasa - Nairobi Standard gauge Railway is a Standard gauge Railway (SGR) in kenya that connects the large Indian Ocean city of Mombasa with Nairobi the country's Capital city.

1c9558e07cc874e5ff14d964f9fc6786

At a cost of US $3.6 Billion, the SGR is the Kenya's most expensive infrastructure projects since independence.
The prime contractor CRBC which hired 25000 Kenyans to work on the railway CRBC's holding company is contracted to operate the line for its first 5 years.

An extension from Nairobi to Naivasha was completed in October 2019.
Stations
Mombasa terminus

4b85d676ee06c40a586362520f78fba0

9ddc226fbf0194cf45f778db0f51149a

Concentric Circles and a central tower representing a ripple in the ocean.
Mariakani

4994e4a999469a76c02e340ab97ee71e

Porticos are inspired by coconut trees, which are plentiful in the region.
Voi

5e970371b8377d2232360012e375c02e

1b1db1ef2dca3d847e919778f4eac196

V-shaped like a person with raised hands, representatives the spirit of Harambee. V is also the first letter of Voi.
Mtito Andei

05e641aa6cfd0ee042ef32ad43d8a5b9

ebf405f929db1bf8d50ec1500c04c2c0

Slopping roofs representing Mount kilimanjaro and chyulu hills
Kibwezi

32657ddd49a417dcc3a1039bc2a4d125

0fdfe1a91b989e689e073894415d35c5

Based on traditional African architecture with leaves that shade passengers from the sun
Emali

4f1dcc401489badc505d687cb1f4cede

A closed fist, representing unity
Nairobi terminus

c94a89691d658d48547596bea344765b

a0827312ca017c73779c1979cad0395f

2bdaa85635363968cef8b26ebc02df22

Two trains with a bridge on top
 
Hiyo mitungi ya chang'aa ambayo Tanzania tunatumia mgr huko kwenu kunyaland ndio amazing train?
 
Hiyo mitungi ya chang'aa ambayo Tanzania tunatumia mgr huko kwenu kunyaland ndio amazing train?
Topic ni stations[emoji23][emoji23], yaani naongea kuhusu "kichwa/uso" wewe unatazama "tako"., [emoji23][emoji23][emoji23] ngoja train zenyu zije zianze kazi then we will discuss.
 
Ungefafanua vile ilivyo Tanzania, now I understand vile mawaziri wenyu are appointed. Kenya with new constitution waziri sio mp. Now as member of parliament, lazima awe wa chama tawala?
Hauja elewa mawazir wanavy chaguliwa kuna waziri aliye toka bungeni itategemea rais kapendezwa na member gani wa bunge hata mpinzani anaweza kuchaguliwa kuwa waziri na waziri aliye tokea kwenye secto ya umaa. ...hairusiwi wazir wa Tz akawa cyo muajiiriwa wa zerikali au member wa bunge.
 
Back
Top Bottom