Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unapenda kujidanganya kwa kujifurahisha........
eti TPDF imeshindwa,imeshindwa nini,wapi ,lini na saa ngapi....?••• au uliota ndoto ya kivita ukiwa front captain na ukala kichapo ukahisi hiyo ndoto ni TPDF[emoji3][emoji3][emoji4][emoji4]
endelea kujidanganya na hizo taarifa zako za kichwani

Tz Army huwa hatuna historia ya kuloose mission......... iko wazi
Hampendi ukweli, hii ni kawaida ya wengi wenyu, nimewaelewa, kweli nadhani niliota ndoto[emoji23][emoji23], good morning!

TPDF an army good at fighting rebels (mostly child soldiers with pangas) in Congo forest. Keep up[emoji23][emoji23]
 
TPDF walishindwa kuwazuia wasiingie msumbiji baada ya kukula kiapo wakiwa Tanzania, I may repost the news if necessary. What your media won't do. Those guys have sworn to kill even gov't officials and Christians, a pathetic group.
Naweza ipata hiyo video hao jamaa wakila kiapo hapa Tanzania... Natanguliza shukran Mzee, fanya hivo anko tupate ona
 
Hampendi ukweli, hii ni kawaida ya wengi wenyu, nimewaelewa, kweli nadhani niliota ndoto[emoji23][emoji23], good morning!

TPDF an army good at fighting rebels (mostly child soldiers with pangas) in Congo forest. Keep up[emoji23][emoji23]
ukweli gani uliouongea acha kupenda kujifurahisha pasipo na sababu za msingi....unaokota okota maneno kutoka kwenye ubongo wako kisha unajiropokea

hebu leta hapa evidence za kimataifa na uonyeshe mission yeyote ambayo imefanywa na TPDF ikawa failes.....
 
Sisi tulianzia zamani,kdf is so powerful in Africa,nyi hamna kitu mnajua
[emoji3][emoji3]yaani mnajipika na kujipakua wenyewe..... hao wengine ni invisible army ama.....?

Una akili Ya mende mazeee umenifurahisha
IMG_20200618_084752.jpg
 
Naona kapewa kichapo humo kabaki kucheka cheka tu,

Watanzania wakitumia fact kumnyoosha yeye anatumia feeling kubishana,

Tatizo media zao zinawajaza ujinga mnoo.

anajaribu kujitetea lkn anaongea utumbo tu
 
Hampendi ukweli, hii ni kawaida ya wengi wenyu, nimewaelewa, kweli nadhani niliota ndoto[emoji23][emoji23], good morning!

TPDF an army good at fighting rebels (mostly child soldiers with pangas) in Congo forest. Keep up[emoji23][emoji23]
Kibera boy
 
Go back and give success rate ya kidney operations, no data so far, that is the determinant of best healthcare from mediocre. Numbers ain't necessarily a measure of quality, nowonder serious and important personalities do not seek medical attention in your country.
Naona kapewa kichapo humo kabaki kucheka cheka tu,

Watanzania wakitumia fact kumnyoosha yeye anatumia feeling kubishana,

Tatizo media zao zinawajaza ujinga mnoo.
 
Go back and give success rate ya kidney operations, no data so far, that is the determinant of best healthcare from mediocre. Numbers ain't necessarily a measure of quality, nowonder serious and important personalities do not seek medical attention in your country.
Unatumia feeling za kijinga kubishana ukiwa county gani?
 
Back
Top Bottom