Niliona sana ila nilitaka ukubaliane na mimi kama pa1 na kuwa na station lkn kwenye train mna mitungi ya chang'aaTopic ni stations[emoji23][emoji23], yaani naongea kuhusu "kichwa/uso" wewe unatazama "tako"., [emoji23][emoji23][emoji23] ngoja train zenyu zije zianze kazi then we will discuss.
Wenzetu hapo Somalia..jasho inawatoka..huku matokeo yakikosekana.
ati Mwale then scouting for funds from Akon! Wewe ni mpumbavu kweli aisee!
National Electoral Commission Dodoma
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
What happened kwa border ya Mozambique mumeshindwa ku contain terrorists from your country wanasumbua Mozambique, fyata domo domo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenzetu hapo Somalia..jasho inawatoka..huku matokeo yakikosekana.
We ulitaka tukawapige huko msumbiji au?What happened kwa border ya Mozambique mumeshindwa ku contain terrorists from your country wanasumbua Mozambique, fyata domo domo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mods pulled down my thread on that news! Tanzania hampendi ujweli, a news already in the public domain!
Send them to eliminate terrorists from your country wanao sumbua Mozambique [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], walishindwa kuwa dhibiti, kuna taarifa in whispers they are a group to sabotage Mozambique's natural resources like gas n oil, TPDF wamelemewa kuwadhibiti[emoji23][emoji23]
We ulitaka tukawapige huko msumbiji au?
Wenzetu hapo Somalia..jasho inawatoka..huku matokeo yakikosekana.
unapenda kujidanganya kwa kujifurahisha........Send them to eliminate terrorists from your country wanao sumbua Mozambique [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], walishindwa kuwa dhibiti, kuna taarifa in whispers they are a group to sabotage Mozambique's natural resources like gas n oil, TPDF wamelemewa kuwadhibiti[emoji23][emoji23]
Ask mods to reinstate my thread they pulled it down!., inasemekana Tz is a terrorism hub. The group originates in Tanzania ambapo wanakula kiapo. This is serious!!
factMajority rules?, kwahiyo ninyi kura zenu hupigwa kwa misingi ya ukabila?, kila mtu huchagua kabila lake?. Ndio sababu tunasema hata uwe na uwezo na "Qualifications zote" lakini kama sio mkikuyu, Jaluo au Kalenjin hauwezi kuwa rais Kenya.
Kama nchi zingekua zinachagua kwa kutumia ukubwa wa makabila.
1)South Afrika wasingemchagua Mandela
2)Tanzania tusingempata Nyerere
3)Obama asingechaguliwa huko USA
Ninyi ni wabaguzi na wakabila sana.
Kuhusu kuwachukulia hatua wauaji, eleza nani hadi Leo amekamatwa kufuatia mauaji ya zaidi ya wakenya 2000 wa PEV 2007. Nani alikamatwa hadi Leo kufuatia kifo cha Chris Msando na Jacob Juma?
Huu ndio Uhuru wa kujieleza? Wawili taabani baada ya kuchapisha video ya Rais Uhuru, Raila wakitembea usiku
Wakati jumla ya wanajeshi wote wa KDF ni 24,000 pekee, wacha kuweka vitu vya ajabu, tunazungumzia jumla ya wanajeshi walioko sasa hivi katika UN peace missions, sio accumulative tangu nchi ilipopata Uhuru, hata hivyo ni uongo kuwa na wanajeshi wengi Mara mbili ya idadi ya jeshi la nchi.Sisi tulianzia zamani,kdf is so powerful in Africa,nyi hamna kitu mnajua