Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,991
- 27,998
Hiyo barabara inawauma kweli kweli. Tanzania hatawai jenga kitu kama hiki. So you just relax and be spectators.
Hiyo barabara inawauma kweli kweli. Tanzania hatawai jenga kitu kama hiki. So you just relax and be spectators.
LDC mentality, sasa less than 13k ni kitu ya kushangilia?Kuna mapimbi walikuwa wanaleta ubishi wa kitot juu ya hili swala...![]()
Still brugging with nothing...13 tarmac road with 100 % complited plus 2000km under U/C...inamana 15000km sasa we lilia ngoja next 5 year...ndio mtajua hamjui...failed state..LDC mentality, sasa less than 13k ni kitu ya kushangilia?




Mko na less than 13k, even your president stated very well.Still brugging with nothing...13 tarmac road with 100 % complited plus 2000km under U/C...inamana 15000km sasa we lilia ngoja next 5 year...ndio mtajua hamjui![]()
bonge la pointKwakutoa views zangu na ningependa serikali ione hili
Nchi yetu igawanywe kwa zone 7
Nothern Zone- Mwanza
Southern zone- Mtwara
Eastern zone-Dar/Pwani
Central zone Dodoma
South west-Mbeya
Northeast-Arusha
North west-Kigoma
Hizi zones zote ziwe na Sports Complex/Villages zitazokuwa na
Indoor Stadiums..Za Michezo ya basketball,Netball ,Volley ball na Music Shows
Football Stadium za atleast 20k seats
Na michezo mingine na academy ziatazo integrate michezo ya zones hizo na kuratibu kutafuta na kukuza vipaji..wa zones ..na kukuza michezo kwenye zone hizo
Pia tufufue THT ..na ku improve vipaji vya music na movie production
Vyuo vya UD na UDOM vi improve ufundishaji wa TV and Film making and Acting kwa kutafuta mikataba na ma kampuni makubwa ya nje ushirikiano wa walimu na scholarship etc
Tunampango wa kujenga treni ya kutumia umeme kutoka tegeta hadi town 20km na yenyewe itakua elevated na hamtakaa mjenge kitu kama icho kenyaHiyo barabara inawauma kweli kweli. Tanzania hatawai jenga kitu kama hiki. So you just relax and be spectators.
Miradi ya handshake hii openness haihitaji kama principal partners wamekubaliana, kumbuka Jubilee imebakisha miaka miwili tu!hakuna kuzungusha mada wapi sign board Siku utapata mm nafunga acc jamii forum nje hapo tuonesheni render
Less?wacha kujitia pressure kijana,unasoma maandishi unayatafsiri kinyume ili tuanze debate za kitoto...unaambiwa 13k zina lami tayar na 2000km wakandarasi wako kazini wewe unasema ujinga gani man upMko na less than 13k, even your president stated very well.
English yenyewe imechanganyika na kijaluo, njaa na umasikini, "Kenya not yet Uhuru"Pita kimya kimya kama English inakutesa![]()
kwisha habari 😂😂 Teargass kujaHabari kamili!! View attachment 1481056
bridge gani munatufata nyinyi?😂😂😂good work, still following Kenya on roads, as we follow you on bridges, good progress though.
Hapo kwenye mitaro naunga mkona hoja ,mitaro iwe ya chini ya Ardhi isiyo onekanaNafasi ipo ilo litazingatiwa plus taa na mitaro ya kufunikwa
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
It will take them a century to win "social and economy freedom"...hawajui hata wako wapi...wanajichukia wenyewe.English yenyewe imechanganyika na kijaluo, njaa na umasikini, "Kenya not yet Uhuru"
Tunampango wa kujenga treni ya kutumia umeme kutoka tegeta hadi town 20km na yenyewe itakua elevated na hamtakaa mjenge kitu kama icho kenya
hujui faida yake au 😂😂😂😂 au hujui inamaana gani 😂😂😂 siku utapata tag me nje ya hapo tuoneshe renders kama kawaSignboard itakusaidia na nini? What you have to know construction is going on even though inakuuma hivo.
SawasawaEndeleeni kupanga. Na siku mtajenga usikose kunitag tafadhali.
inatuuma wakat ni render we vp 😂😂😂Hiyo barabara inawauma kweli kweli. Tanzania hatawai jenga kitu kama hiki. So you just relax and be spectators.
Amesema approximately 13k. Meaning tarmacked roads are less than 13k.Less?wacha kujitia pressure kijana,unasoma maandishi unayatafsiri kinyume ili tuanze debate za kitoto...unaambiwa 13k zina lami tayar na 2000km wakandarasi wako kazini wewe unasema ujinga gani man up
sio zitajengwa zimeshajengwa tayari 😂😂 13k na 2000km ziko under construction kwa sasa bado unataka ramli auEndeleeni kupanga. Na siku mtajenga usikose kunitag tafadhali.